LISHE: Fahamu faida za kula nyanya mbichi zilizoiva vizuri

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com NYANYA ni chanzo kikuu cha lycopene, ambayo imehusishwa na faida nyingi za kiafya, pamoja...

MAPISHI KIKWETU: Kimanda cha viazi mbatata

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com Muda wa kuandaa: Dakika 10 Muda w amapishi: Dakika 15 Walaji: 2 Vinavyohitajika ...

MAPISHI KIKWETU: Nyama ya kuku choma iliyoandaliwa kwa pamoja na kitunguu saumu na siagi

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KUKU choma inapochomwa pamoja na siagi, kitunguu saumu, halwaridi, na limau huwa na ladha ya...

LISHE: Umuhimu wa tunda la kantalupu

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com Kantalupu ni aina ya tikiti ambalo ni tamu sana, ingawa lina sura isiyo ya kawaida. Limejaa...

Faida zipatikanazo kwa kula tunda la pogoa

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KUVIMBIWA ni hali ambayo huvuruga mchakato wa usagaji chakula.  Katika nyakati kama hizo,...

Je, unapaswa kuosha uso wako kwa maji baridi?

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KUOSHA uso kwa maji baridi huathiri ngozi kwa njia nyingi nzuri. Kuzuia chunusi, kwa mfano,...

Chai ya muasumini na manufaa yake kwa binadamu

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com MUASUMINI hutumiwa kwenye ngozi ili kupunguza kiasi cha maziwa ya mama, kwa magonjwa ya...

MAPISHI KIKWETU: Wali mwekundu kwa samaki

NA PAULINE ONGAJI Viungo Mchele vikombe – 2 Samaki mkubwa vipande vinne Mafuta ya kukaanga lita – ¼ Vitunguu vikombe...

UJAUZITO NA UZAZI: Ishara za ‘nasal polyps’ kwa mtoto

NA PAULINE ONGAJI KUMBUKA kuwa ishara hizi ni sawa na za mafua. Aidha, unashauriwa kutafuta usaidizi wa kimatibabu endapo utashuhudia...

MALEZI KIDIJITALI: Hili hapa tishio jipya kwa watoto mitandaoni

VITISHO vipya vinavyokabili watoto mtandaoni vinaendelea kuibuka na kuchukua mwelekeo mpya na wazazi hawana budi kuwa macho...

BAHARI YA MAPENZI: Ubunifu wahitajika kudumisha mvuto

SIZARINA HAMISI Na BENSON MATHEKA MARA nyingi maisha ya ndoa huchosha, hupoteza mvuto na wakati mwingine hupoteza ladha ya...

FATAKI: Usitoe huduma za mke wa ndoa kwa dume ambalo wala halijakuoa

NA PAULINE ONGAJI MAPEMA wiki hii nilikutana na picha fulani iliyochapishwa na binti mmoja mtandaoni, ambapo ilioonyesha vyakula...