• Nairobi
  • Last Updated May 24th, 2024 12:59 PM

AMINI USIAMINI: Fahamu kumhusu mjusi kafiri anayeitwa satanic leaf-tailed gecko

NA MWORIA MUCHINA MJUSI kafiri anayeitwa satanic leaf-tailed gecko, anafanana na jani lililokauka. Hii humsaidia kujificha ili...

AMINI USIAMINI: Tandu wanaofahamika kama Giant centipedes

NA MWORIA MUCHINA TANDU wanaofahamika kama Giant centipedes (Scolopendra gigantea), hutambaa kwenye sakafu za misitu wakitafuta mawindo...

AMINI USIAMINI: Ndege anayefahamika kama Pelegrine falcon ndiye anayepaa kwa kasi zaidi duniani

NA MWORIA MUCHINA PELEGRINE falcon (Falco peregrinus) ndiye ndege anayepaa kwa kasi zaidi duniani. Huvamia mawindo yake kutoka juu...

Utajuaje familia yenye mshikamano na ushirikiano mzuri?

NA MARGARET MAINA [email protected] JAPO changamoto za maisha zinaweza kufanya watu kukosa utulivu, kwa baadhi ya wanafamilia,...

JIPANGE KABLA UPANGWE: Ratiba ya asubuhi ndio silaha yako ya siri

NA MARGARET MAINA [email protected] NI muhimu uwe na ratiba ya asubuhi ambayo itakuongoza wewe na familia yako kuwa na mpangilio...

Jinsi ya kudumisha usafi wa ndani ya chumba chako cha kulala

NA MARGARET MAINA [email protected] UNAHITAJI chumba cha kulala ambacho ni nadhifu ili uwe na utulivu unapopumzika ama peke yako...

Infinix yazindua simu mpya aina ya NOTE 30 series

NA WINNIE ONYANDO KAMPUNI ya kutengeneza simu ya Infinix imezindua aina mpya ya simu iliyo na uwezo wa kunasa picha bora. Simu hiyo...

AMINI USIAMINI: ‘Bullet ant’ akiuma sehemu yoyote ya mwili utadhani umepigwa risasi

NA MWORIA MUCHINA SIAFU anayefahamika kwa Kiingereza kama ‘bullet ant’ akikuuma utahisi uchungu kama mtu aliyepigwa risasi....

Bado nasubiri jibu la demu miaka 2 sasa!

Salamu shangazi. Nina huzuni nyingi moyoni kuhusu mwanamke ninayempenda. Nilimwambia wazi kuwa nampenda na amenihangaisha kwa miaka miwili...

AMINI USIAMINI: Kipepeo anayefahamika kama ‘glasswing butterfly’

NA MWORIA MUCHINA KIPEPEO anayejulikana kama glasswing butterfly au kwa jina la kisayansi Greta oto, huwa na mabawa yenye mwonekano wa...

JIPENDE: Tabia zinazoonyesha mja hajiamini

NA MARGARET MAINA [email protected] Kujisema vibaya UAMUZI wa kujikosoa mara kwa mara na kujizungumzia vibaya ni mojawapo ya...

Baadhi ya vyanzo vya furaha maishani mwako

NA MARGARET MAINA [email protected] UKITAKA kuwa na furaha isiyo na kifani maishani, unatakiwa kufanya mambo...