• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 8:55 PM

MAPISHI KIKWETU: Jinsi ya kuandaa tosti ya viazi vitamu na mbaazi za ‘curry’

NA MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Dakika 20 Muda wa mapihi: Dakika 40 Walaji: 2 Vinavyohitajika ...

BORESHA AFYA YAKO: Mbaazi ni mlo mtamu wenye faida tele kwa afya ya binadamu

NA MARGARET MAINA [email protected] MBAAZI zimekuwa zikikuzwa na kuliwa katika nchi za Mashariki ya Kati kwa maelfu ya...

BAHARI YA MAPENZI: Mdada pia ana haki ya kumrushia chali mistari

NA BENSON MATHEKA KUNA kanuni isiyopatikana katika vitabu vya sheria na pengine vya kidini kwamba ni mwanamume anayepaswa kurushia...

PENZI LA KIJANJA: Urembo ni bonasi, gharimikia uhusiano

NA BENSON MATHEKA IKIWA unadai unapenda mwanamume ilhali kazi yako ni kutaka akutimizie na kukidhi mahitaji yako yote, utajua...

Hii imeenda! Samidoh atambulisha mpango wake wa kando, Karen Nyamu, kuwa mkewe

NA SAMMY WAWERU   EDDAY Nderitu, ambaye ni mke wa kwanza wa mwimbaji wa nyimbo za Mugithi, Samuel Muchoki maarufu kama Samidoh huenda...

TEKNOLOJIA: Tecno yazindua simu aina ya Phantom V Fold

NA WINNIE ONYANDO WIKI chache baada ya kuzindua simu aina ya Phantom X2, Kampuni ya kutengeneza simu ya Tecno imezindua PHANTOM V Fold...

PENZI LA KIJANJA: Hizi hapa mbinu za kuteka mumeo asiwe fisi

NA BENSON MATHEKA KWA miaka 15 umekuwa mke mzuri na mwaminifu kwa mumeo. Kwa heshima zote, unajitolea kumtunza kama mfalme wako...

BORESHA AFYA: Fahamu ni kwa nini unafaa kunywa chai ya halwaridi

NA MARGARET MAINA [email protected] HALWARIDI ina historia ndefu ya kutumika katika upishi na ni ya kunukia. Lakini pia...

Faida za kula zukini

NA MARGARET MAINA [email protected] ZUKINI ni chanzo cha madini ya potasiamu. Potasiamu husaidia kuweka misuli yetu kufanya...

HUKU USWAHILINI: Huku jina unalompa mtoto wako ndilo humkaa kabisa

NA SIZARINA HAMISI WATOTO wetu huku Uswahilini huwa wanapitia masaibu mengi mno. Na hata ukiona mtoto kalelewa hadi kuwa mtu mzima...

MALEZI KIDIJITALI: Mafunzo ya malezi dijitali kwa wazazi yaja

JUHUDI za kuhakikisha kwamba wazazi nchini wamekumbatia malezi dijitali zimepigwa jeki baada ya wadau kuungana na kuzindua mpango wa...

PENZI LA KIJANJA: Eti anataka umzalie kabla akuoe? Toroka!

NA BENSON MATHEKA VALENTINO imepita na baadhi ya waliotarajia raha walipata mishtuko. Kwa Grace, mshtuko aliopata ulikuwa kinyume na...