• Nairobi
  • Last Updated December 8th, 2023 10:25 PM

WANDERI KAMAU: Agizo la Gachagua halitatatua athari za pombe Mlima Kenya

NA WANDERI KAMAU HADI sasa, ingali kubainika kuhusu ikiwa aliyekuwa Chansela wa Ujerumani kati ya 1933 na 1945, Adolf Hitler, alitimiza...

KEN OKANIWA: Miaka 60 ya ushirikiano wa Kenya na Japan imekuwa na manufaa kwetu sote

NA KEN OKANIWA MOJAWAPO ya matukio muhimu kwa mwanadiplomasia ni nchi yake inapoadhimisha kumbukumbu muhimu katika uhusiano wa taifa...

TAHARIRI: Kuongeza ada ya maji kutakwamisha maendeleo

NA MHARIRI MNAMO Juni 30, 2022 Dkt William Ruto akiwa mwaniaji urais kupitia chama cha United Democratic Alliance (UDA), alizindua...

TUSIJE TUKASAHAU: Madai ya wizi wa kura yalishachunguzwa na Mahakama ya Juu

IDARA ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imeanzisha uchunguzi wa ripoti kuhusu uwepo wa takwimu mpya ambayo muungano wa Azimio unadai inaonyesha...

TUSIJE TUKASAHAU: Masaibu ya Baraza la Kitaifa la Mashujaa

JUZI serikali ililipa Sh1.3 milioni, bili ya hospitali iliyochangia mkewe shujaa wa uhuru Dedan Kimathi, Mukami Kimathi, kuzuiliwa katika...

WANDERI KAMAU: Magoha alionyesha umuhimu wa watu kubuni na kuzingatia misimamo yao

NA WANDERI KAMAU KIFO cha aliyekuwa Waziri wa Elimu, Profesa George Magoha, ni ishara ya wazi kuwa si lazima mtu ajiingize katika siasa...

DOUGLAS MUTUA: Kulazimishia Waafrika ushoga hakika ni ukoloni mamboleo

NA DOUGLAS MUTUA USASA una matatizo. Na kuukimbiza usasa humwacha mtu katika hali ya kukanganyikiwa asitofautishe kushoto na kulia,...

CECIL ODONGO: Jamii ya kimataifa iingilie kati na kufanya patanisho ya Rais Ruto, Raila

NA CECIL ODONGO NAOMBA jamii ya kimataifa iingilie kati mvutano wa Rais William Ruto na kinara wa Azimio, Bw Raila Odinga, kuhusu matokeo...

KINYUA KING’ORI: Tujadili mbinu za kukabili changamoto zinazotulemea tuache porojo za Agosti 9

NA KINYUA KING'ORI NASHINDWA kuelewa jinsi “ufichuzi” wa Raila Odinga kushinda kura ya urais katika uchaguzi mkuu uliopita,...

JURGEN NAMBEKA: Kaunti nyingine Pwani ziige ‘Mombasa Yangu’ ya Nassir

NA JURGEN NAMBEKA MAJUZI Gavana wa Mombasa, Bw Abdulswammad Nassir, alianzisha mpango wa ‘Mombasa Yangu’ unaonuia kutoa nafasi za...

TAHARIRI: Wabunge wafaa waheshimu hadhi yao na kuonyesha kujali wananchi

NA MHARIRI KITENDO cha wabunge kushika mateka serikali huku wakiendelea kufuja pesa za umma ni cha aibu na kuudhi. Wabunge 300 kwa zaidi...

MITAMBO: Mtambo safi katika uundaji lishe toka makapi ya mahindi

NA PETER CHANGTOEK WAKULIMA wa mahindi kutoka maeneo tajiri ya Uasin-Gishu, Nandi na Trans-Nzoia kwa siku nyingi wamekuwa wakipinga...