NA CECIL ODONGO ITAKUWA vyema kwa utawala wa Kenya Kwanza (KK) kuzamia wajibu wao wa kuwatumikia Wakenya. Rais William Ruto, naibu...
NA MHARIRI JUMA lijalo, wanafunzi wa Gredi ya 7 wanatarajiwa kujiunga na shule mbalimbali kwa masomo ya Sekondari ya Msingi chini ya...
HUKU shule zikiwa zimefunguliwa kwa muhula wa kwanza katika mwaka wa masomo wa 2023, taharuki ingali imetanda katika maeneo kadha ya North...
NA MHARIRI SERIKALI imeeleza mpango wa kufanyia marekebisho mfumo mzima wa kufadhili elimu ya wanafunzi wa vyuo vikuu na taasisi za elimu...
NA BENSON MATHEKA IMESEMWA mara nyingi na inajulikana wazi kuwa ufisadi ni tishio kwa usawa wa maendeleo na haki. Ufisadi unafanya...
NA MHARIRI SHULE zinapofunguliwa leo Jumatatu, serikali yapaswa kutimiza ahadi yake na kuzipatia pesa kwa wakati. Alipotangaza matokeo ya...
NA WANDERI KAMAU ILIPOFIKA Januari 1, 2023 kila mtu alikuwa na matumaini makubwa. Mwaka mpya. Mambo mpya na mtazamo mpya maishani. Kando...
NA DOUGLAS MUTUA JE, Rais William Ruto anapaswa kuwaadhibu watu waliotaka kumnyima urais baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2022 au ajitie...
NA MHARIRI WIKI jana, Shirikisho la Soka Nchini (FKF) liliwapiga marufuku makocha na wachezaji, 15 ambao lilidai walihusishwa na upangaji...
NA MHARIRI RIPOTI ya shirika la kimataifa la Oxfam kuwa Wakenya wawili wenye utajiri mkubwa zaidi wanamiliki mali inayoshinda...
MAPEMA mwezi huu Shirikisho la Mashirika ya Kutetea Maslahi ya Wagonjwa wa Saratani (KNCO) lililalamika kuwa Bima ya Kitaifa ya Afya (NHIF)...
NA KINYUA KING'ORI HATUA ya Rais Dkt William Ruto kuzuru Nyanza hivi majuzi na kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo huku akiahidi...