• Nairobi
  • Last Updated May 10th, 2024 5:15 PM

CHARLES WASONGA: Serikali iwachukulie hatua kali walimu wakuu wanaonyanyasa wazazi

NA CHARLES WASONGA INAUDHI kuwa licha ya serikali kuonya walimu wakuu wa shule za umma za msingi na upili dhidi ya kutoza wazazi ada za...

CECIL ODONGO: Ibada zisigeuzwe jukwaa la kutupiana cheche za kisiasa

NA CECIL ODONGO RAIS William Ruto na viongozi wa Kenya Kwanza wakome kuhadaa Wakenya kwamba mikutano wanayoandaa katika kaunti mbalimbali...

TAHARIRI: Serikali yafaa ieleze iwapo mahindi ya kuagizwa ni ya GMO au la

NA MHARIRI SERIKALI imetangaza kuwa mahindi ya bei nafuu yanaingia nchini kuanzia leo Jumatano ili kuziba pengo la uhaba wa mlo...

TAHARIRI: Changamoto za CBC zilizobaki zitatuliwe

NA MHARIRI WANAFUNZI wa Gredi 7 hatimaye walienda shuleni jana Jumatatu baada ya pandashuka nyingi kuhusu hatima yao. Safari ya elimu...

TUSIJE TUKASAHAU: Japhet Koome hajabuni Mamlaka ya Usalama ya Kaunti

WANANCHI katika maeneo ya kadha nchini haswa North Rift na Kaskazini Mashariki na Pwani wanaendelea kuathiriwa na visa vya utovu wa...

WANDERI KAMAU: Agizo la Gachagua halitatatua athari za pombe Mlima Kenya

NA WANDERI KAMAU HADI sasa, ingali kubainika kuhusu ikiwa aliyekuwa Chansela wa Ujerumani kati ya 1933 na 1945, Adolf Hitler, alitimiza...

KEN OKANIWA: Miaka 60 ya ushirikiano wa Kenya na Japan imekuwa na manufaa kwetu sote

NA KEN OKANIWA MOJAWAPO ya matukio muhimu kwa mwanadiplomasia ni nchi yake inapoadhimisha kumbukumbu muhimu katika uhusiano wa taifa...

TAHARIRI: Kuongeza ada ya maji kutakwamisha maendeleo

NA MHARIRI MNAMO Juni 30, 2022 Dkt William Ruto akiwa mwaniaji urais kupitia chama cha United Democratic Alliance (UDA), alizindua...

TUSIJE TUKASAHAU: Madai ya wizi wa kura yalishachunguzwa na Mahakama ya Juu

IDARA ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imeanzisha uchunguzi wa ripoti kuhusu uwepo wa takwimu mpya ambayo muungano wa Azimio unadai inaonyesha...

TUSIJE TUKASAHAU: Masaibu ya Baraza la Kitaifa la Mashujaa

JUZI serikali ililipa Sh1.3 milioni, bili ya hospitali iliyochangia mkewe shujaa wa uhuru Dedan Kimathi, Mukami Kimathi, kuzuiliwa katika...

WANDERI KAMAU: Magoha alionyesha umuhimu wa watu kubuni na kuzingatia misimamo yao

NA WANDERI KAMAU KIFO cha aliyekuwa Waziri wa Elimu, Profesa George Magoha, ni ishara ya wazi kuwa si lazima mtu ajiingize katika siasa...

DOUGLAS MUTUA: Kulazimishia Waafrika ushoga hakika ni ukoloni mamboleo

NA DOUGLAS MUTUA USASA una matatizo. Na kuukimbiza usasa humwacha mtu katika hali ya kukanganyikiwa asitofautishe kushoto na kulia,...