• Nairobi
  • Last Updated February 25th, 2024 11:30 AM

TAHARIRI: Serikali isikilize vilio vya wazazi kuhusu uteuzi wa sekondari

NA MHARIRI PUNDE baada ya Waziri wa Elimu Bw Ezekiel Machogu kutangaza matokeo ya uteuzi wa watakaojiunga na shule za sekondari jana...

WANTO WARUI: Wizara iangazie zaidi vyuo vya ufundi ili kusaidia vijana wanapomaliza sekondari

NA WANTO WARUI VIJANA wengi wanaomaliza shule za sekondari hujipata wakitapatapa huku na kule wakitafuta jambo la kufanya wanapokosa...

WANDERI KAMAU: Edwin Sifuna ndiye ‘Musa’ wa kuwakomboa vijana kisiasa nchini

NA WANDERI KAMAU ULINGO wa kisiasa nchini unaumia. Unaumia pakubwa kwa kukosa viongozi wenye maono. Viongozi wenye msukumo wa kisiasa na...

TAHARIRI: Kitendo cha MCA kupigana na kuzuia wanahabari hakikufaa

NA MHARIRI KAMA kuna jambo lililowaletea fahari Wakenya ni kupitisha Katiba ya mwaka 2010, ambayo ilibadili mfumo wa uongozi. Sura ya...

TAHARIRI: Viongozi wa Azimio ni viongozi wa kitaifa wanaopaswa kuheshimiwa

NA MHARIRI MRENGO wa Azimio ni mmojawapo wa mirengo mikuu ya kisiasa nchini. Waanzilishi wake wakuu - Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, Bw...

TAHARIRI: Ababu apewe nafasi tosha ya kulainisha soka

NA MHARIRI KUMEKUWA na vikao mbalimbali kati ya maafisa wa michezo ya kimataifa na waziri wa michezo na wasaidizi wake humu nchini siku...

WANDERI KAMAU: Ni kosa kubwa kuwasawiri waliounga mkono Azimio la Umoja kama maadui

NA WANDERI KAMAU DHANA inayoendelezwa na baadhi ya viongozi wa mrengo wa Kenya Kwanza kuwasiri wenzao katika muungano wa Azimio la Umoja...

DOUGLAS MUTUA: Korona ingali tishio duniani, tunafaa kujihadhari sana

NA DOUGLAS MUTUA HIVI huenda tayari umeanza kuishi kana kwamba janga la korona halipo tena? Ikiwa jawabu lako ni ndiyo, una hakika...

CECIL ODONGO: Itakuwa mwisho wa Ford-Kenya na ANC zikikubali kumezwa na UDA

NA CECIL ODONGO VYAMA tanzu vya Ford-Kenya na ANC ndani ya utawala wa Kenya Kwanza visikubali kumezwa na UDA kuelekea uchaguzi 2027....

WANDERI KAMAU: Mwanadamu amegeuka mnafiki asiyesameheka!

NA WANDERI KAMAU JE, kuna uwezekano dunia ikawa mahali salama pa kuishi bila mwanadamu kumuogopa mwenzake? Tunaweza kuwa na jamii...

TAHARIRI: Sote tuunge mkono nia ya mapatano ya Rais Ruto

NA MHARIRI TANGU jadi pindi uhuru ulipopatikana, siasa za Kenya zilianza kuchukua mkondo wa kikabila. Chuki za kikabila zimekuwa...

KINYUA BIN KING’ORI: Ruto, Raila wasitusumbue kutukumbusha visanga vya Bomas 2022

NA KINYUA BIN KING'ORI TAIFA kupiga hatua muhimu ya maendeleo huhitaji viongozi wangwana, wasiolewa siasa na kudhani malumbano hata kwa...