• Nairobi
  • Last Updated March 5th, 2024 6:55 AM

TAHARIRI: Sote tuunge mkono nia ya mapatano ya Rais Ruto

NA MHARIRI TANGU jadi pindi uhuru ulipopatikana, siasa za Kenya zilianza kuchukua mkondo wa kikabila. Chuki za kikabila zimekuwa...

KINYUA BIN KING’ORI: Ruto, Raila wasitusumbue kutukumbusha visanga vya Bomas 2022

NA KINYUA BIN KING'ORI TAIFA kupiga hatua muhimu ya maendeleo huhitaji viongozi wangwana, wasiolewa siasa na kudhani malumbano hata kwa...

JURGEN NAMBEKA: Serikali, kaunti ziunde mbinu kugeuza rasilimali ziwe faida

NA JURGEN NAMBEKA GAVANA Abdulswammad Nassir wa Mombasa amependekeza kuanzisha ushuru maalum utakaowezesha skaunti kufaidi kutokana na...

TAHARIRI: KCSE: Mzozo wa usahihishaji usuluhishwe kwa hekima

NA MHARIRI MAPEMA wiki hii walimu waliokuwa wakisahihisha mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne (KCSE) katika kituo kimoja Kiambu...

TUSIJE TUKASAHAU: Ni vyema Polisi wa Akiba waliotumwa Samburu walipwe marupurupu

KAMISHNA wa Kaunti ya Samburu, Henry Wafula ametangaza kuwa serikali imeajiri jumla ya Polisi 160 wa Akiba (NPR) katika kaunti hiyo ili...

CHARLES WASONGA: Mawaziri watekeleze agizo la Rais kukumbatia utoaji huduma kidijitali

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto anastahili pongezi kwa kuagiza mawaziri na makatibu wa idara zote za wizara 22 kukumbatia mfumo wa...

CECIL ODONGO: Gachagua si Naibu Rais wa eneo la Mlima Kenya pekee

NA CECIL ODONGO KAMA ilivyo wadhifa wa Urais, ule wa Naibu Rais unastahili kuashiria umoja wa taifa na mshikilizi wake hafai kuonekana...

TAHARIRI: Uhuru wa idara ya mahakama si suala la mzaha

NA MHARIRI IDARA ya mahakama ni mojawapo ya nguzo tatu za serikali. Nguzo nyingine ni bunge na urais unaojumuisha baraza la...

TAHARIRI: Magavana waige Nassir kuhusu uwazi na uwajibikaji

NA MHARIRI JUMAPILI jioni, Gavana wa Mombasa Abdulswamad Sheriff Nassir aliketi mbele ya kamera za vyombo vya habari na kueleza sera...

BENSON MATHEKA: Hatua za Ruto kumaliza ufisadi zisihujumiwe kwani zitachangia ustawi wetu sote

NA BENSON MATHEKA RAIS William Ruto amechukua hatua zinazofaa za kukabiliana na janga la ufisadi nchini. Ni janga kwa sababu kwa...

TAHARIRI: Ukame: Dua pekee si jibu bali teknolojia

NA MHARIRI UKAME ambao unaendelea kushuhudiwa katika baadhi ya maeneo nchini umesababisha njaa na mahangaiko tele. Takwimu za serikali...

CHARLES WASONGA: Ruto ajizatiti kukomesha ufisadi na ubadhirifu nchini

NA CHARLES WASONGA NILIFUATILIA kwa makini zaidi kikao cha kwanza cha Rais William Ruto na wanahabari katika Ikulu ya Nairobi ambapo...