• Nairobi
  • Last Updated May 29th, 2023 9:37 PM

SHAIRI: Buriani Matiba, ulazwe pema peponi

Na KULEI SEREM Nimetingwa na huzuni, nimepokea habari, Inanichoma moyoni, kama moto msumari, Shujaa wetu jamani, ametuaga kwaheri, Ni...

SHAIRI: Ukihitaji habari, tafuta Taifa Leo

Na KULEI SEREM Gazeti la  Kiswahili, halina mapendeleo, Nazungumzia lili, hili la  TAIFA LEO, Gazeti lenye ukweli, wa habari...

SHAIRI: Athari za vileo na mihadarati

Na KULEI SEREM Koti langu ninavua, ili nipate kunena, Mwili wangu unaloa, japo mie sijanona, Ulimi wanichochea, nina neno kwa...

SHAIRI: Kwa nini tubaguane?

Na IZIRARE HAMADI Uumbile lilo hariri, mola katuumbia, Liwe shari au heri, adinasi jijazia, Mapambo yake kahari, sote...