• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 10:15 PM

Namwamba aahidi kufufua sekta ya michezo nchini

NA JOHN ASHIHUNDU WAZIRI mpya wa Michezo, Ababu Namwamba ameahidi kufufua sekta ya spoti kote nchini mara tu atakapoanza kutekeleza wajibu...

Lionel Messi afunga mabao mawili na kusaidia Argentina kuzamisha Jamaica

Na MASHIRIKA LIONEL Messi alishinda mchuano wake wa 100 kimataifa kwa kufunga mabao mawili yaliyosaidia Argentina kupepeta Jamaica 3-0...

Aliyekuwa kiungo wa Nigeria, John Mikel Obi, astaafu soka akiwa na umri wa miaka 35

Na MASHIRIKA KIUNGO wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, John Mikel Obi, ameangika daluga zake kwenye ulingo wa soka akiwa na umri wa...

Uhispania wakomoa Ureno ugenini na kutinga nusu-fainali za Uefa Nations League

Na MASHIRIKA ALVARO Morata alifunga bao la pekee na la ushindi dhidi ya Ureno mnamo Jumanne usiku jijini Braga na kusaidia timu yake ya...

Mpira wa Vikapu: Timu nne za Kenya zawinda taji la Red Bulls Half Court nchini Misri

NA RUTH AREGE TIMU nne za mpira wa vikapu za wachezaji watatu kila upande (3x3), zinatarajiwa kuondoka nchini leo Jumatano usiku...

Zetech Sparks yasajili watano

NA RUTH AREGE TIMU ya Zetech Sparks ya Ligi Kuu ya Wanawake nchini (KWPL), imesajili wachezaji watano wapya ikiwa ni kujiandaa kwa msimu...

Ufaransa waponea kushushwa ngazi kwenye Uefa Nations League licha ya kutandikwa na Denmark ugenini

Na MASHIRIKA MABINGWA wa dunia, Ufaransa, waliponea chupuchupu kuteremshwa ngazi kutoka makundi ya vikosi vya haiba kubwa kwenye Uefa...

Italia wakomoa Hungary jijini Budapest katika Uefa Nations League

Na MASHIRIKA ITALIA walifuzu kwa nusu-fainali za Uefa Nations League baada ya kukomoa Hungary 2-0 katika pambano la mwisho la Kundi A3...

Uingereza na Ujerumani waambulia sare ya 3-3 katika Nations League uwanjani Wembley

Na MASHIRIKA UINGEREZA waliambua sare ya 3-3 dhidi ya Ujerumani katika pambano la mwisho la Kundi A3 kwenye Uefa Nations League mnamo...

Uholanzi, Croatia zatinga 4-bora

Na MASHIRIKA CROATIA na Uholanzi ndiyo mataifa ya kwanza kufuzu kwa nusu-fainali za UEFA Nations League baada ya kushinda mechi zao za...

Wales wateremshwa ngazi kwenye Nations League baada ya kutandikwa na Poland

Na MASHIRIKA WALES waliteremshwa ngazi kutoka makundi ya vikosi vya haiba kubwa kwenye Uefa Nations League baada ya Poland kuwapepeta...

Brigid Kosgei ajiondoa London Marathon kuuguza jeraha

Na GEOFFREY ANENE MSHIKILIZI wa rekodi ya dunia ya mbio za kilomita 42 ya wanawake Brigid Kosgei amejiondoa kutoka makala ya 42 ya London...