• Nairobi
  • Last Updated December 5th, 2023 8:55 PM

CECAFA: Vihiga Queens kuvaana na Buja Queens kusaka nafasi ya tatu

NA TOTO AREGE VIHIGA Queens wanapania kuaga dimba la Mashirikisho ya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa kishindo watakapomenyana...

Firat motoni kwa kupuuza wachezaji wa Gor, Tusker na Ingwe kikosini Harambee Stars

NA CECIL ODONGO KOCHA wa Harambee Stars Engin Firat amekashifiwa vikali kwa kuwaacha nje wachezaji wa Gor Mahia, AFC Leopards na Tusker...

Budapest 2023: Hongera Kenya kwa kuwa bingwa Afrika, na nambari 5 duniani 

NA MWANGI MUIRURI  LICHA ya kuonekana dhaifu katika mashindano ya ubingwa wa riadha duniani yaliyoandaliwa nchini Hungary, Kenya...

Rais Ruto aongoza nchi kupongeza Faith Kipyegon na wanariadha walioletea Kenya medali

NA SAMMY WAWERU RAIS William Ruto ameongoza taifa kupongeza wanariadha walioiletea Kenya medali mbalimbali katika mashindano ya...

Kenya yaambulia patupu marathon ya wanawake jijini Budapest

Na GEOFFREY ANENE KWA mara ya kwanza katika makala saba Kenya imetoka mikono mitupu katika mbio za kilomita 42 za wanawake kwenye Riadha...

KCB wapata wanyonge droo ya Tisap Sevens

Na GEOFFREY ANENE MAKUNDI ya duru ya tano ya raga za kitaifa za wachezaji saba kila upande ya Tisap Sevens yametangazwa, huku KCB wakipata...

Vihiga Queens kuanza dhidi ya Ulinzi Starlets msimu mpya wa 2023-24

NA TOTO AREGE MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Nchini (KWPL), Vihiga Queens, watafungua msimu wa 2023-24 dhidi ya wanajeshi...

Lukaku: Ilibidi tuzoee maziwa na mkate kila siku kwa sababu ya msoto nyumbani

CECIL ODONGO Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI wa Ubelgiji Romelu Lukaku amesimulia namna kwao walilelewa kwa maisha ya umaskini mkubwa na jinsi...

Namwamba apambana kujitoa kwa kinywa cha mamba

JOHN ASHIHUNDU Na MARY WANGARI WAZIRI wa Michezo, Maswala ya Vijana na Sanaa, Ababu Namwamba mnamo Jumatano alijitetea vikali mbele ya...

Msimu mpya wa Ligi Kuu ya Kenya kuanza Jumamosi

NA JOHN ASHIHUNDU SHIRIKISHO la Soka Nchini (FKF) limetangaza ratiba ya mechi za msimu mpya wa 2023/2024 utakaoanza rasmi...

Nyota 5 kuwakilisha Kenya kwenye Mashindano ya Dunia ya Chesi nchini Ujerumani

NA TOTO AREGE WACHEZAJI watano wa timu ya wanabenki wa KCB ya Sataranji yaani chesi, wanatarajiwa kuondoka nchini mnamo Jumatano kuelekea...

Vichapo vyatoa pumzi Man United na Chelsea

NA MASHIRIKA KOCHA Mauricio Pochettino anakabiliwa na presha ya mapema kunyanyua Chelsea ambayo imeanza vibaya Ligi Kuu ya Uingereza...