• Nairobi
  • Last Updated February 25th, 2024 11:30 AM

Timu ya chesi ya NCBA kuwakilisha Kenya nchini Oman mashindano ya FIDE

NA TOTO AREGE TIMU ya chesi ya benki ya NCBA iliondoka nchini Jumatatu kuelekea Muscat, Oman kwa mashindano ya dunia ya chipukizi ya...

Ten Hag aning’inia pembamba Man United wakiyumba ligini

Na MASHIRIKA WANASOKA wa zamani wa Manchester United – Gary Neville na Roy Keane – wamesema miamba hao wana ulazima wa “kubadilisha...

Posta Rangers yaendelea kung’aa ikiicharaza Bandari 2 – 0

NA CECIL ODONGO POSTA Rangers jana, Jumamosi, Oktoba 28, 2023 iliipiga Bandari 2-0 kwenye mechi ya Ligi Kuu (KPL) katika uwanja wa...

Wanakriketi wa Nairobi kutuzwa kwa mara ya kwanza na NPCA tangu Covid-19

Na GEOFFREY ANENE WACHEZAJI wa zamani na wa sasa pamoja na timu zitatuzwa kwenye tamasha la Chama cha Kriketi cha eneo la Nairobi (NPCA)...

Gaspo Women walenga kuharibu mwanzo mzuri wa Vihiga Queens

NA TOTO AREGE MABINGWA watetezi Vihiga Queens wana nafasi kubwa ya kuendeleza rekodi yao ya kutopoteza mechi msimu huu, wanapojiandaa...

Nike yamjengea Kipchoge sanamu ya shaba Amerika

NA LABAAN SHABAAN KAMPUNI ya kimataifa ya viatu vya kispoti Nike imemtunuku heshima ya kipekee mwanariadha mashuhuri wa mbio za masafa...

Mbio za Standard Chartered Nairobi Marathon zavutia washiriki 22,000

Na AYUMBA AYODI WASHIRIKI zaidi ya 22,000 wamejiandikisha kutimka katika makala ya 20 ya mbio za Standard Chartered Nairobi Marathon...

Omanyala atema kocha Ayiemba na kuajiri kocha Kimani

Na GEOFFREY ANENE  BINGWA wa Michezo ya Jumuiya ya Madola na Afrika mbio za mita 100, Ferdinand Omanyala amepata kocha mpya, miezi...

Kipchoge aliyeshambuliwa kwa kimya kirefu asema hakushangaa kuona dogo Kelvin Kiptum akivunja rekodi yake

LABAAN SHABAAN Na GEOFFREY ANENE NGULI wa mbio za Marathon Eliud Kipchoge amesema ‘hakushangazwa’ na Mkenya mwenzake Kelvin Kiptum...

KCB RFC wapiga Oilers kujikatia tiketi ya fainali ya Impala Floodlit

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA mara tisa wa mashindano ya raga ya wachezaji 15 kila upande ya Impala Floodlit, KCB RFC wametinga fainali ya...

Infantino anguruma kwa Kiswahili akizindua Ligi ya Kandanda ya Afrika almaarufu AFL

NA LABAAN SHABAAN RAIS wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela alisema ukizungumza na mtu kwa lugha anayofahamu,...

JAGINA: ‘Oduwo Cobra’ aliyevuma kriketi

Na GEOFFREY ANENE KRIKETI ni yeye na yeye ni kriketi. Hayo ndiyo maisha ya Joseph Oduol Angara aliyekuwa katika kikosi cha Kenya...