• Nairobi
  • Last Updated February 25th, 2024 11:30 AM

KCB RFC yavizia Menengai Oilers katika nusu-fainali ya Impala Floodlit

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA watetezi KCB RFC wanatarajiwa kupata mtihani mkali watakapovaana na Menengai Oilers katika nusu-fainali ya...

Kocha wa AFC Leopards Tomas Trucha aliyewahi kutoroka kwa kutishiwa na mashabiki, arejea akitarajiwa kuanza kazi rasmi Ijumaa

Na JOHN ASHIHUNDU KOCHA Tomas Trucha aliyewahi kufunza AFC Leopards Desemba 2020 na akaondoka kwa kutishiwa maisha na mashabiki, amerejea...

Brazil wafinywa na Uruguay, Messi aibeba Argentina kwa kupachika mawili dhidi ya Peru

NA MASHIRIKA MONTEVIDEO, Uruguay MASAIBU ya timu ya taifa ya Brazil yaliongezeka baada ya kufinywa na Uruguay 2-0 katika kampeni za...

Timu ya chesi ya KCB tayari kwa mashindano ya ‘Mombasa Open’

NA TOTO AREGE TIMU ya chesi ya KCB inapania kufanya vizuri katika mashindano ya Mombasa Open Chess Championships yatakayofanyika Oktoba...

Presha kwa Olunga aangike daluga au afufue makali yake ya kupachika magoli

NA GEOFFREY ANENE MASHABIKI wa Kenya wanaonekana kuishiwa na subira na mfumaji matata Michael 'Engineer' Olunga baada ya kumaliza mechi...

Bunyore Starlets waanza msimu mpya wa FKF-WPL kwa kishindo

NA TOTO AREGE WAREMBO wa Bunyore Starlets walianza msimu wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Shirikisho la Soka Kenya (FKF-WPL) kwa mpigo na sasa...

STAA: MVP Akinyi aliyeshindia Nyamira ubingwa wa hoki

NA CECIL ODONGO SHULE ya upili ya wasichana ya Nyamira katika eneobunge la Bondo, Kaunti ya Siaya, ililetea nchi fahari tele baada ya...

Martial wa Man United atema visura wawili, aoga na kurudi ‘soko’

NA CHRIS ADUNGO FOWADI wa Manchester United, Anthony Martial, ameanza mchakato wa kutafuta hifadhi mpya ya penzi lake baada ya kulemewa na...

JAGINA: Miaka 25 na mapigano zaidi ya 200 jukwaani

NA GEOFFREY ANENE WANAHISTORIA wanaponakili kumbukumbu za mabondia wa taifa waliochapana mapigano 200 kabla ya kustaafu, jina la Shaaban...

Kocha wa zamani wa PSG kufunza Olunga klabuni Al-Duhail

Na GEOFFREY ANENE MSHAMBULIZI Michael Olunga amepata kocha mpya baada ya klabu yake ya Al-Duhail kuajiri Mfaransa Christophe Galtier...

Faith Kipyegon aorodheshwa kuwania tuzo ya mwanariadha bora duniani

Na GEOFFREY ANENE BINGWA mara tatu wa dunia mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon atawania tuzo ya mwanariadha bora duniani mwanamke kwa...

Msimu mpya wa mbio za nyika kuanza Oktoba 14 mjini Machakos

Na GEOFFREY ANENE MSIMU wa mbio za nyika wa 2023-2024 utaanza Oktoba 14, Shirikisho la Riadha nchini Kenya (AK) lilitangaza...