• Nairobi
  • Last Updated February 26th, 2024 8:50 AM

Faith Kipyegon aorodheshwa kuwania tuzo ya mwanariadha bora duniani

Na GEOFFREY ANENE BINGWA mara tatu wa dunia mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon atawania tuzo ya mwanariadha bora duniani mwanamke kwa...

Msimu mpya wa mbio za nyika kuanza Oktoba 14 mjini Machakos

Na GEOFFREY ANENE MSIMU wa mbio za nyika wa 2023-2024 utaanza Oktoba 14, Shirikisho la Riadha nchini Kenya (AK) lilitangaza...

Kiptum sasa ndiye mfalme mpya wa marathon duniani

NA GEOFFREY ANENE Mkenya Kelvin Kiptum aliendelea kudhihirisha kuwa yeye ni mfalme mpya wa mbio za kilomita 42 baada ya kushinda Chicago...

Kenya yalaza Angola mechi ya kufuzu kombe la dunia wanawake chini ya miaka 20

NA TOTO AREGE Timu ya Kenya ya Rising Starlets imeanza vizuri kampeni yao katika mchujo wa Kombe la Dunia la Wanawake chini ya miaka 20...

Rising Starlets kukaribisha Angola uwanjani Nyayo

NA TOTO AREGE TIMU ya soka ya wanawake ya Kenya ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 Rising Starlets, itakaribisha Angola uwanjani...

Hatumfuti Ten Hag hata Man United ipondwe namna gani, wakuu wasema

NA CECIL ODONGO KOCHA wa Manchester United, Erik ten Hag, hatafutwa kazi hiyo licha ya msururu wa matokeo duni yanayoandama timu katika...

Kombe la Afrika: Janet Okello awasili kutoka Japan kupiga jeki Kenya Lionesses

Na GEOFFREY ANENE MWANARAGA nyota Janet 'Shebesh' Okello amewasili nyumbani kutoka Japan kupiga jeki timu ya taifa ya wachezaji saba kila...

Usiku wa UEFA ambao Man Utd na Arsenal waliona giza

PARIS, Ufaransa Mashabiki walishuhudia matokeo ya kushangaza Jumanne usiku timu maarufu za Manchester United na Arsenal ziliposhindwa...

Muumini wa Kanisa la Kiadventista aponyoka na Sh11 milioni za bonasi ya Sportpesa Mega Jackpot

Na CECIL ODONGO MWANAFAMASIA mwenye umri wa miaka 35 ameponyoka na Sh11 milioni za bonasi ya Sportpesa Mega Jackpot. El Aden Wambita...

Kaunti ya Kakamega yakarabati viwanja kuanzia mashinani

Na JOHN ASHIHUNDU SERIKALI ya Kaunti ya Kakamega imeanza kukarabati viwanja kwa michezo kuanzia mashinani katika juhudi za kuimarisha...

Kenya yanyakua medali kochokocho riadha za barabara duniani

NA GEOFFREY ANENE PERES Jepchirchir, Sebastian Sawe na Beatrice Chebet walinyakua mataji ya vitengo vyao na kusaidia Kenya kushinda...

Shabiki wa Man United kwenye mizani baada ya kuahidi kumpa mwenzake wa Chelsea mkewe  

NA LABAAN SHABAAN SHABIKI wa klabu ya soka ya Manchester United amegeuka kuwa gumzo la mitandao ya kijamii, kutokana na ahadi yake –...