• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 7:55 AM

Aubameyang afungia Barcelona mabao matatu katika mechi yake ya kwanza La Liga

Na MASHIRIKA PIERRE-Emerick Aubameyang alifungua akaunti ya mabao kambini mwa Barcelona kwa kujaza kimiani magoli matatu katika ushindi...

Michuano ya ligi ya Mtwapa Primia yanoga Kilifi

NA CHARLES ONGADI MICHUANO ya ligi ya Mtwapa Primia, Kilifi ilipamba moto katika uwanja wa shule ya msingi ya Mtwapa, Jumapili...

Man-United wakomoa Leeds United baada ya kuponea ugani Elland Road

Na CHRIS ADUNGO MANCHESTER United walihimili makali ya Leeds United na kuondoka ugani Elland Road na alama tatu kutokana na ushindi wa...

Wolves wang’ata Leicester City ligini

Na MASHIRIKA WOLVES waliendelea kuweka hai matumaini yao ya kushiriki soka ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) msimu ujao baada ya kucharaza...

KU yalenga fainali ya Super Cup

Na JOHN KIMWERE KOCHA wa timu ya wanaume ya Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU), Victor Luvale anakiri kuwa wanatarajia mtihani mgumu kwenye...

Impala yanining’inia pabaya Kenya Cup baada ya kichapo

Na GEOFFREY ANENE KLABU ya Impala Saracens wako mashakani kuteremshwa daraja kutoka Ligi Kuu ya raga ya wachezaji 15 kila upande (Kenya...

Cheruiyot ang’aria wapinzani mita 800 Riadha za AK

Na GEOFFREY ANENE BINGWA wa dunia mbio za mita 1,500, Timothy Cheruiyot ni mmoja wa wanariadha waliong’ara katika siku ya mwisho ya...

Buriram yafungua mwanya wa alama 10 Ligi Kuu ya Thailand

Na GEOFFREY ANENE KLABU ya Buriram United imefungua mwanya wa alama 10 juu ya jedwali la Ligi Kuu ya Thailand baada ya kulipua Port 2-1...

Prisons Mombasa yajipatia miaka mitatu kushiriki kipute cha CAVB

Na JOHN KIMWERE TIMU ya wanaume ya Maafande wa Prisons Mombasa ni kati ya vikosi 16 vinavyoshiriki kipute cha Ligi Kuu ya Voliboli...

Macho kwa Obiri akiendea mamilioni ya fedha Ras Al Khaimah Half Marathon

Na GEOFFREY ANENE Bingwa wa Great North Run Hellen Obiri atakuwa kwenye mizani ya Waethiopia atakapotimka Ras Al Khaimah Half Marathon...

Kipchoge, Kosgei wajitosa Tokyo Marathon

Na GEOFFREY ANENE Washikilizi wa rekodi za dunia mbio za kilomita 42 Eliud Kipchoge (saa 2:01:39) na Brigid Kosgei (2:14:04) watawania...

Chebet, Simiyu wang’ara riadha za Kisumu

Na GEOFFREY ANENE NYOTA Sandrafelis Chebet na Daniel Simiu walinyakua mataji ya mbio za mita 10,000 na mita 5,000 katika raundi ya pili...