• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 7:50 PM

Montreal anayochezea Wanyama yalima Inter maandalizi ya msimu mpya

Na GEOFFREY ANENE CF Montreal ilianza maandalizi ya msimu mpya kwa kulipua wenzao kutoka Ligi Kuu ya Amerika na Canada (MLS) Inter Miami...

AFCON: Cameroon wapepeta Burkina Faso kupitia penalti na kuambulia nafasi ya tatu

Na MASHIRIKA WENYEJI Cameroon walitoka nyuma kwa mabao 3-0 na kulazimishia Burkina Faso sare ya 3-3 katika muda wa kawaida kabla ya...

NYOTA WA WIKI: Sadio Mane

NA GEOFFREY ANENE SI ajabu kwamba Sadio Mane anasifika kama mmoja wa mawinga 10 bora duniani. Ubunifu wake, ukatili mbele ya lango,...

VOLIBOLI: Kocha wa Prisons asema wako ngangari kukabili wapinzani

Na JOHN KIMWERE KOCHA wa timu ya wanawake ya Kenya Prisons, Josp Baraza amesema wapinzani wao wameimarisha mchezo wao lakini hilo...

Platinum yarudisha mkono kwa jamii kwa kukuza talanta za vijana mtaani

Na PATRICK KILAVUKA PLATINUM FC inapatikana jijini Nairobi inawazia kushiriki Ligi ya Kanda, Shirikisho la Soka Kenya, Nairobi West...

Kakamega kumkosa kuingo Francis Omondi

Na JOHN KIMWERE HUENDA Kakamega Homeboyz itakosa huduma za kiungo, Francis Omondi kwenye mechi zilizosalia za Ligi Kuu ya Soka la Kenya...

Tergat kushughulikia nidhamu Olimpiki ya msimu wa baridi Beijing 2022

Na GEOFFREY ANENE RAIS wa Kamati ya Kitaifa ya Olimpiki Kenya (NOC-K) Paul Tergat ameteuliwa kuhudumu katika kitengo cha nidhamu cha...

Safari ya Ndula FC katika bahari ya kandanda

Na LAWRENCE ONGARO TIMU ya Ndula FC ya Thika Mashariki, imekuwa katika ulingo wa michezo kwa miaka sita mfululizo kwa lengo la kukuza...

Serikali ya Kaunti yaahidi kuwasomesha watoto wa shabiki Juma aliyeuawa

NA JOHN ASHIHUNDU SERIKALI ya Kaunti ya Kakamega imeahidi kugharimia maandalizi ya matanga ya shabiki nambari moja nchini Isaac Juma...

AFCON: Salah kuvaana na Mane kwenye fainali baada ya Misri kudengua wenyeji Cameroon kwenye nusu-fainali kupitia penalti

Na MASHIRIKA KIPA Mohamed Abou Gabaski ndiye aliibuka shujaa wa Misri baada ya kupangua penalti mbili na kusaidia kikosi chake kukomoa...

Kocha: Prisons tupo ngangari kukabili wapinzani wetu

Na JOHN KIMWERE KOCHA wa timu ya wanawake ya Kenya Prisons, Josp Baraza amesema wapinzani wao wameimarisha mchezo wao lakini hilo...

Kuwazia unachofanya na kukipenda ndio njia ya Kufaulu, Refa Lucy

Na PATRICK KILAVUKA Kuwa na matumaini katika ulitakalo huwa chimbuko la mawazo ya kujiwazia mema na kufaulu licha ya changamoto kuwepo...