• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 11:33 PM

Omanyala kutetemesha kwenye riadha za Diamond League

Na GEOFFREY ANENE MSHIKILIZI wa rekodi ya Afrika mbio za mita 100, Ferdinand Omanyala ametangaza kuwa yuko tayari kutetemesha kwenye...

Mbappe abeba PSG dhidi ya Auxerre

Na MASHIRIKA PARIS Saint-Germain (PSG) walianza kunusia taji lao la 11 la Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) baada ya fowadi Kylian Mbappe...

Arsenal wafika mwisho wa lami

NA MASHIRIKA MANCHESTER CITY wameibuka mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza EPL 22/23 baada ya Arsenal kupoteza mchuano wao wa kufa na...

Simbas yalenga kurarua Zimbabwe Currie Cup

Na GEOFFREY ANENE WENYEJI Kenya Simbas wametaja kikosi chao tayari kwa mchuano wa daraja la kwanza Kombe la Currie dhidi ya Zimbabwe...

Benki ya KCB yapiga jeki matayarisho ya Safari Rally kwa Sh150 milioni

NA GEOFFREY ANENE KCB Bank Kenya itatumia Sh150 milioni kusaidia duru ya saba ya Mbio za Magari Duniani (WRC) Safari Rally...

Vivian Moraa: Msichana anayefyatuka unyoya kama Omanyala

NA PATRICK KILAVUKA ALIWAKILISHA kanda ya Nairobi katika mashindano ya Michezo ya Riadha kwa Shule za Msingi kitaifa ambayo yaliandaliwa...

Mpango wa Serikali ni muhimu kwa wachezaji waliostaafu

NA JOHN ASHIHUNDU MPANGO wa kuinua maisha ya wanasoka wa zamani waliowahi kuchezea timu ya taifa Harambee Stars umepokelewa kwa furaha...

Arsenal kufika mwisho wa lami wakiteleza dhidi ya Nottingham Forest

NA MASHIRIKA LONDON, Uingereza: BINGWA wa Ligi Kuu ya Uingereza msimu 2022-2023 huenda akajulikana Jumamosi iwapo safari ya Arsenal...

Kipchoge azoa Sh7.4 milioni za tuzo ya Kihispania ya Binti Mfalme wa Asturias

Na GEOFFREY ANENE GUNGE wa mbio za kilomita 42, Eliud Kipchoge amejizolea Sh7.4 milioni baada ya kushinda tuzo ya kifahari ya Uhispania ya...

Obiri kutetea taji la Great Manchester Run mnamo Mei 21

Na GEOFFREY ANENE MALKIA mpya wa Boston Marathon, Hellen Obiri atarejea nchini kutetea taji lake la mbio za kilomita 21 la Great...

Njia ya Gaspo Women kuendea ubingwa KWPL yageuka telezi

NA AREGE RUTH GASPO Women wamekosa nafasi ya kurejesha uongozi wao katika Ligi Kuu ya Wanawake nchini (KWPL), baada ya kutoka sare ya...

AFC Leopards wala njama kuzamisha Kakamega Homeboyz

NA JOHN ASHIHUNDU KUNA kila dalili kwamba Kakamega Homeboyz watajipata kwenye hali ya hatari Jumamosi watakapokutana na AFC Leopards...