• Nairobi
  • Last Updated May 21st, 2024 8:55 PM

Gaspo Women wako ngangari kutwaa ubingwa, watuma salamu kwa wapinzani wao katika KWPL

NA AREGE RUTH MKUFUNZI wa Gaspo Women ya Ligi Kuu ya Wanawake nchini (KWPL) James Ombeng', amethibitisha kuwa wana uwezo wa kutwaa...

Mwanagofu Kibugu ala Sh0.6 milioni Magical Kenya Open

Na GEOFFREY ANENE MKENYA Mutahi Kibugu alijihakikishia tuzo ya Sh616,153 baada ya kumaliza mashindano ya kimataifa ya gofu ya Magical...

Patashika EPL Arsenal, Man-U wakisaka ubabe

Na MASHIRIKA ARSENAL watatua ugani Craven Cottage leo Jumapili wakilenga kukomoa Fulham na kuepuka presha kutoka kwa Manchester City –...

Kenya yashinda riadha za Afrika Mashariki nchini Tanzania

Na GEOFFREY ANENE KENYA iliibuka mshindi wa Riadha za Afrika Mashariki za chipukizi wasiozidi umri wa miaka 18 na 20 ugani Benjamin Mkapa...

Chepng’etich aendea Sh32.4 milioni za Nagoya Marathon

NA GEOFFREY ANENE BINGWA mara mbili wa Chicago Marathon na dunia 2019, Ruth Chepng’etich atakuwa mawindoni  Jumapili kuongeza taji la...

Mechi za mkondo wa pili KWPL zarejea rasmi

NA AREGE RUTH MECHI za mkondo wa pili za Ligi Kuu ya Wanawake nchini (KWPL), zinarejea rasmi wikendi hii huku mechi ya kukata na shoka...

Faith Mwende asema yuko ngangari akijiandaa kukwea Mlima Everest

NA AREGE RUTH KUKWEA Mlima Kenya inaweza kuwa kazi ngumu kwa watu wengi, lakini kwa hakika si kwa Faith Mwende. Mwende ambaye ni...

Mastaa Ngii, Nyairera, Manangoi, Kasait na Kinyamal kushiriki riadha za AK mjini Thika

Na GEOFFREY ANENE MASHINDANO ya tatu ya Shirikisho la Riadha Kenya (AK) yamevutia majina makubwa hapo Machi 10-11 wakiwemo wataalamu wa...

Bertha Omitta ajiunga na klabu ya Vihiga Queens

NA AREGE RUTH MSHAMBULIZI matata wa Harambe Starlets Bertha Omitta, amerejea nchini na kujiunga Vihiga Queens ya Ligi Kuu ya Wanawake...

Makala ya kwanza ya michezo ya ufukweni Kenya ni Machi 17-19 mjini Malindi

Na GEOFFREY ANENE KAMATI ya Olimpiki ya Kitaifa nchini Kenya (NOC-K) itaandaa makala ya kwanza ya mashindano ya kitaifa ya michezo ya...

Nzoia FC yashikilia rekodi KPL

Na CECIL ODONGO NZOIA Sugar mnamo Jumatano ilidumisha rekodi ya kutoshindwa nyumbani baada ya kutoka nyuma na kuagana sare ya 2-2 dhidi ya...

Mchezaji wa zamani wa Gor Mahia kuuza basi la klabu ajilipe mshahara

NA SAMMY WAWERU MCHEZAJI wa zamani wa Gor Mahia Wellington Ochieng amepata idhini ya mahakama kuuza basi la klabu hiyo kujilipa...