• Nairobi
  • Last Updated April 30th, 2024 11:55 AM

Wagombea waanza kuvuna walichopanda kipindi cha kampeni

NA TITUS OMINDE DALILI zaonyesha kuwa wagombea huru katika ngome ya Naibu Rais Dkt William Ruto ya North Rift watabwagwa wote. Katika...

Masanduku yenye kura yaanza kutua kituo kikuu cha kuhesabia Kieni

NA SAMMY WAWERU   MAAFISA wa IEBC, maajenti wa vyama vya kisiasa na wa wagombea wa viti vya kisiasa chini ya ulinzi wa maafisa...

Wapiga kura 10 milioni wakosa kufika vituoni

NA WAANDISHI WETU   KARIBU wapiga kura 10 milioni walisusia Uchaguzi Mkuu wa Jumanne huku eneo la Mlima Kenya likiwa na idadi...

Wazee watatizika mitambo ikishindwa kunasa alama za vidole

NA WAANDISHI WETU BAADHI ya wazee, akiwemo mamake Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, jana Jumanne walikumbwa na changamoto kupiga kura...

ODM yashuku hila ugavana ukiahirishwa

NA VALENTINE OBARA MGOMBEAJI ugavana Mombasa kupitia Chama cha ODM, Bw Abdulswamad Nassir, anataka uchunguzi ufanywe kuhusu hali...

Mshangao jina la Ngilu kuwa debeni

NA KITAVI MUTUA JINA la Gavana wa Kitui Charity Ngilu ambaye alijiondoa katika kinyang’anyiro cha Ugavana, jana Jumanne lilikuwa...

Wachache wajitokeza kupiga kura Thika na Ruiru

NA LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa mji wa Thika walijitokeza kupiga kura alfajiri katika uwanja wa Thika Stadium, lakini idadi ilikuwa ya...

Omar Shallo wa UDA akamatwa Mvita

NA FARHIYA HUSSEIN MGOMBEA ubunge Mvita kwa tiketi ya United Democratic Alliance (UDA) Omar Shallo amekamatwa pamoja na mwaniaji udiwani...

Hakuna kura ya ugavana Mombasa, Kakamega leo

NA WAANDISHI WETU WAKAZI wa Kauti za Mombasa na Kakamega watalazimika kusubiri muda mrefu zaidi kabla kuchagua magavana wapya. Hii ni...

Gachagua, Karua wapiga kura Sagana na Mugumo mtawalia

GEORGE MUNENE Na STEPHEN MUNYIRI MGOMBEA mwenza wa Raila Odinga katika muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya Martha Karua Jumanne...

Ruto apiga kura katika kituo cha Kosachei

NA ONYANGO K'ONYANGO NAIBU Rais Dkt William Ruto amepiga kura saa kumi na mbili asubuhi katika kituo cha kura kilichoko katika Shule...

Mlima Kenya njia panda katika uchaguzi wa leo Agosti 9

NA MWANGI MUIRURI UCHAGUZI mkuu unaofanyika hii leo Agosti 9 bila shaka ni tukio la kipekee kisiasa kwa wenyeji wa Mlima Kenya ambao kwa...