• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 10:55 AM

Mong’are atolewa jasho na digrii yake

NA RICHARD MUNGUTI MWANIAJI kiti cha urais aliyetemwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Walter Mong’are alihudhuria masomo ya...

Mama ashinda mashindano bila kumpa fahali wake bangi

Na FAUSTINE NGILA  Mama Peninah Otuma kutoka kijiji cha Ematetye amefunguka kuhusu vita vya ng’ombe akisema yeye hampi fahali wake...

BOBI WINE: Shinikizo kwa Museveni aachilie huru msanii zazidi

Na ANTHONY OMUYA RAIA wa Uganda wanaoishi Kenya waliandaa maandamano ya amani Agosti 23, 2018  jijini Nairobi kutaka serikali ya Uganda...

IPSOS: Kazi yetu ni kutafiti, si kuhukumu wafisadi

Na PETER MBURU  SI kazi yetu kubaini nani mfisadi ama nani si mfisadi, ila tunakusanya maoni ya Wakenya kuhusu wanachodhani, ndiyo...

IPSOS: Wakenya bado huchagua wanasiasa wakijua ni wafisadi

Na PETER MBURU MMOJA kati ya kila Wakenya kumi anaamini kuwa viongozi wafisadi bado wanaweza kuongoza vyema, utafiti umesema. Utafiti huo...

IPSOS: Wafuasi wa Raila bado hawajamkubali Uhuru

Na PETER MBURU BADO wafuasi wengi wa kiongozi wa ODM Raila Odinga hawana imani na uongozi wa Rais Uhuru Kenyatta, licha ya viongozi hao...

IPSOS: Kibaki na Raila si wafisadi

Na PETER MBURU WAKENYA wengi wanaamini kuwa kiwango cha ufisadi cha Rais mustaafu Mwai Kibaki na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga ni cha...

Hatuwezi kutazama mamilioni ya mafuta yakifyonzwa KPC – Halakhe Waqo

Na CHARLES WASONGA Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) Halakhe Waqo Jumanne alitofautiana vikali na...

Benki zilizofanikisha ufisadi NYS kuona cha moto

Na CHARLES WASONGA MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji amesema benki ambazo zilitumika kufanikisha wizi wa pesa za umma...