• Nairobi
  • Last Updated June 12th, 2024 4:24 PM

Lazima KANU iwe debeni 2022 – Nick Salat

Na CHARLES WASONGA KATIBU Mkuu wa Kanu Nick Salat ametangaza kuwa chama Kanu kimeanza mazungumzo na vyama mbalimbali vya kisiasa...

Motoni kwa kughushi ‘payslip’ kuonyesha anapokea mshahara wa mamilioni

Na RICHARD MUNGUTI MWANAUME alishtakiwa Jumtano kwa kujitengenezea stakabadhi ya malipo ya mshahara (payslip) kuonyesha anapokea kitita...

Uamuzi kuhusu dhamana kwa washukiwa 47 wa NYS kutolewa Juni 19

Na RICHARD MUNGUTI WASHUKIWA wote 47 wanaoshtakiwa kwa sakata ya mamilioni ya pesa katika Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS)...

Mkurugenzi kizimbani kwa kughushi stempu za KEBS

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa kampuni moja ya kutengeneza vyakula alishtakiwa Ijumaa kwa kuweka stempu ya shirika la ukadiriaji ubora...

Wachina wahukumiwa kufagia mahakama

Na RICHARD MUNGUTI RAIA watatu wa Uchina Ijumaa walisukumiwa kifungo cha kufanya kazi ya kufagia Mahakama baada ya kukiri walipatikana na...

Hatujatia chochote mdomoni tangu Jumapili, washukiwa wa ufisadi walia mahakamani

Na RICHARD MUNGUTI MAWAKILI  wa washukiwa 43 wa sakata ya Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) Jumanne walilalamika kuwa watazirai...

Simbas kujaribu kupiga Cranes nyumbani

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya raga ya wachezaji 15 kila upande ya Kenya almaarufu Simbas, itaondoka nchini Alhamisi alasiri kuelekea...

Shujaa yakiri utakuwa mlima kuwika London na Paris

Na GEOFFREY ANENE NYOTA Oscar Ayodi na Dennis Ombachi wamerejea katika kikosi cha Shujaa kitakachoshiriki duru mbili za mwisho za Raga ya...

Washukiwa wa mauaji wamtisha kiongozi wa mashtaka

Na RICHARD MUNGUTI HAKIMU mwandamizi Bi Martha Mutuku alimtaka kiongozi wa mashtaka Bw Solomon Naulikha atayarishe ushahidi wote katika...

Hauwezi kumlazimishia Miguna jambo – Ombeta

Na RICHARD MUNGUTI WAKILI Cliff Ombeta alithibitisha Alhamisi kuwa Gavana Mike Sonko alimteua mwanaharakati na wakili Dkt Miguna Miguna...

Maraga awataka majaji na mahakimu wazingatie maadili ili kukuza imani

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Mkuu (CJ) David Maraga Jumatano aliwataka majaji na mahakimu wote wawe na maadili mema ndipo wananchi wawe na...

Jaji Ouko awataka wenzake kujiepusha na ufisadi

Na RICHARD MUNGUTI Rais wa Mahakama ya Rufaa Jaji William Ouko Jumanne aliwahimiza majaji watumie uhuru waliopewa katiba kwa manufaa ya...