BIMA: Wamiliki wa 14 Riverside kuvuna fidia ya Sh400m

Na BERNARDINE MUTANU WAMILIKI wa jengo la 14 Riverside mtaani Westlands, Nairobi wanatarajia kulipwa Sh400 milioni kama bima kutokana na...

Maafisa wa NTSA wanaoshukiwa kuhusika kwa mauaji ya DusitD2 waachiliwa

Na RICHARD MUNGUTI MAAFISA watano wa Mamlaka ya Kitaifa ya Usalama wa Uchukuzi (NTSA) waliotiwa nguvuni na kuzuiliwa kuhusishwa na...

Kuna uwezekano wa mashambulizi ya kigiaidi Kenya, Amerika yaonya

Na PETER MBURU SERIKALI ya Marekani imetoa tahathari kwa raia wake waliomo nchini Kenya katika miji ya Nairobi, Naivasha na Nanyuki,...

Kipusa aliyeuza bima kwa magaidi wa DusitD2 kizimbani

NA RICHARD MUNGUTI  AJENTI aliyeuza bima ya gari lililotumiwa na magaidi kwenye shambulizi katika hoteli ya DusitD2 wiki iliyopita,...

Polisi wanasa watu 6 wanaoshukiwa kufadhili magaidi

NA MAUREEN KAKAH MAHAKAMA itaaamua iwapo itawaachilia kwa dhamana washukiwa wengine saba wa ugaidi wanaohusishwa na shambulizi la...

SHAMBULIO: Serikali itagharamia matibabu ya waathiriwa wote – Ruto

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto ametangaza kuwa hospitali ambako waathiriwa wa shambulio katika eneo la 14 Riverside...

KEPSA yakemea vikali mauaji ya 14 Riverside

Na BERNARDINE MUTANU Chama cha wamiliki biashara wa kibinafsi kimekemea vikali shambulizi la kigaidi 14 Riverside,...

TAHARIRI: Waliokabili magaidi fahari kwa Kenya

NA MHARIRI Shambulio la kigaidi lililotekelezwa juzi jijini Nairobi na magaidi wenye makao yao nchini Somalia, Al-Shabaab, ni thibitisho...

Magaidi hawana dini wala kabila – SUPKEM

CECIL ODONGO na MOHAMED AHMED VIONGOZI wa Baraza kuu la Kiislamu nchini (SUPKEM) Jumatano walikemea wanaohusisha magaidi waliotekeleza...

SHAMBULIO: Sababu za Al Shabaab kulenga hoteli ya Dusit D2

Na WYCLIFFE MUIA HOTELI ya Dusit D2 ndio ilikuwa kitovu cha shambulizi la kigaidi Jumanne na wengi wameanza kuhoji sababu za magaidi...

SHAMBULIO: Wakenya waonyesha umoja baada ya uvamizi

Na PETER MBURU WAKENYA Jumatano waliendelea kusisimua ulimwengu kwa uzalendo, ukarimu na ushujaa wao kufuatia shambulio la hoteli ya...

KENYA IMARA: Mashujaa walivyowazidi nguvu magaidi

Na BENSON MATHEKA WAKENYA wameibuka mashujaa na imara zaidi kama taifa, kufuatia shambulizi la kigaidi mnamo Jumanne katika majengo ya...