JUMA NAMLOLA: Ni kazi bure kuahidi kuimarisha uchumi bila kudhibiti ufisadi

NA JUMA NAMLOLA WIKI hii hapa katika meza ya habari ya Taifa Leo tuliangazia mambo ambayo wanasiasa wote waliojitokeza kutamani uraia...

Rais Odinga: Mwanzo mpya au ahadi hewa?

NA WANDERI KAMAU JE, taswira ya urais wa kiongozi wa ODM, Raila Odinga, itakuwa vipi ikiwa ataibuka mshindi kwenye uchaguzi mkuu wa...

Hofu kuu ya Ruto ni kuibiwa kura 2022

NA BENSON MATHEKA Kila dalili zinaonyesha kuwa Naibu Rais William Ruto anahofia kwamba ataibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao....

Vyama vidogo vinachochea chuki na ukabila, Ruto adai

NA KIPKOECH CHEPKWONY NAIBU Rais Dkt William Ruto Jumatatu amewataka wapinzani wake, akiwemo kinara wa ODM Raila Odinga, kukataa kuungana...

Raila na Ruto wachuuza asali chungu

NA PAUL WAFULA AHADI za kuimarisha uchumi zinazotolewa na Naibu Rais William Ruto na Kiongozi wa ODM Raila Odinga zitaongeza matatizo ya...

Kiunjuri aonekana kuasi Ruto na kujiunga na ‘Baba’

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa zamani wa Kilimo Mwangi Kiunjuri ameonyesha dalili za kuunga mkono ndoto ya kiongozi wa ODM Raila Odinga ya...

Wafalme wa kuhadaa vijana

Na LEONARD ONYANGO WANASIASA sasa wanatumia ahadi hewa kama chambo cha kunasa kura za vijana huku Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022...

Njama ya Uhuru kubomoa Ruto yafichuka

Na BENSON MATHEKA MIKAKATI ya Rais Uhuru Kenyatta ya kubomoa umaarufu ambao Naibu Wake William Ruto amejenga eneo la Mlima Kenya imeanza...

Viongozi Mlima Kenya watazuru Nyanza kuthibitisha wanaunga mkono Raila – Orengo

Na MWANDISHI WETU UJUMBE wa viongozi waliochaguliwa eneo la Mlima Kenya utazuru Nyanza kuthibitishia wenyeji kwamba ngome ya Rais Uhuru...

Kanini Kega abadili kauli ya kumuunga Raila 2022, asema ‘Gideon Moi tosha’

Na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Kieni Bw Kanini Kega ameonekana kubadilisha kauli yake ya kumuunga mkono kiongozi wa ODM, Raila Odinga kuwania...

KANU yamteua Gideon Moi kuwania urais 2022

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa chama cha KANU Bw Gideon Moi ameteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kuwania kiti cha urais katika...

KINYUA BIN KINGORI: Vyama vya kisiasa vinavyoendesha ukabila visisajiliwe

Na KINYUA BIN KINGORI KULINGANA na Katiba, Kifungu 91 (2) (a) kinasema kuwa chama cha kisiasa hakitabuniwa kwa misingi ya dini, lugha,...