Real Madrid na AC Milan nguvu sawa huku Bale akipoteza penalti

Na MASHIRIKA GARETH Bale alikuwa sehemu sehemu ya kikosi kilichowajibishwa na kocha Carlo Ancelotti wa Real Madrid dhidi ya AC Milan mnamo...

AC Milan watoka sare dhidi ya Cagliari kwenye Serie A

Na MASHIRIKA AC Milan walishindwa kuwapepeta Cagliari katika Ligi Kuu ya Italia (Serie A) mnamo Jumapili na hivyo kuwapa Juventus...

Soka ya Italia kurejea kwa nusu-fainali ya Coppa Italia

Na CHRIS ADUNGO JUVENTUS na AC Milan zitakuwa klabu za kwanza kurejelea soka ya Italia zitakapovaana Ijumaa ya Juni 12 katika mkondo wa...

Pigo kwa AC Milan mkongwe Zlatan Ibrahimovic akipata jeraha

Na CHRIS ADUNGO HUENDA taaluma ya usogora wa mshambuliaji mkongwe Zlatan Ibrahimovic imefikia mwisho baada ya kikosi cha AC Milan...

Uwanja wa San Siro unaotumiwa na AC Milan na Inter Milan kubomolewa

Na CHRIS ADUNGO NAFASI ya uwanja maarufu wa San Siro ulioko jijini Milan, Italia inatarajiwa kuchukuliwa na uwanja mpya baada ya mamlaka...

Higuain mjanja wa kupiga chenga, hela zake zaweza kukausha bahari

Na CHRIS ADUNGO GONZALO Higuain, 31, ni mshambuliaji matata anayeipigia soka timu ya taifa ya Argentina na klabu ya AC Milan kwa mkopo...