TAHARIRI: Makanisa mengine nao waige mfano kanisa la ACK

NA MHARIRI MSIMU wa siasa huwa muda wa wanasiasa kufanya lolote. Ndio wakati ambao utawaona masokoni, matangani, harusini, na hata...

Ole Sapit aitaka serikali isambaze PPE kwa hospitali zinazosimamiwa na makanisa

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Kanisa la Anglikana Nchini (ACK) Askofu Mkuu Jackson Ole Sapit ametoa wito kwa serikali kusambaza vifaa...

Raila asifu Sapit kwa kupigana na ufisadi kanisani

Na RUSHDIE OUDIA KIONGOZI wa ODM Raila Odinga amemiminia sifa Kiongozi wa Kanisa la Anglikana (ACK) Jackson Ole Sapit kwa kupiga...

Raila apongeza kanisa la ACK kwa kukataa pesa za ufisadi

Na Victor Raballa KINARA wa ODM Raila Odinga amepongeza kanisa la ACK kwa msimamo wake dhidi ya kutumiwa vibaya na viongozi wafisadi....

Waumini wa ACK wakataa uteuzi wa viongozi wapya jimbo la Kitale

Na OSCAR KAKAI? MZOZO katika kanisa la Anglikana katika kaunti ya Pokot Magharibi unaendelea kutokota huku baadhi ya waumini wakipinga...

Tutaendelea kupokea pesa za wanasiasa, Askofu aapa

Na NDUNGU GACHANE ASKOFU wa Kanisa la Kianglikana (ACK) amewashutumu vikali viongozi wa kisiasa ambao wamekuwa wakiyakashifu makanisa...

Kasisi Mkenya achaguliwa askofu wa Kianglikana New Zealand

CHARLES WASONGA na MASHIRIKA KASISI Mkenya, Steve Maina, amechaguliwa kuwa Askofu Mpya wa Kanisa la Kianglikana katika jiji la Nelson,...

Askofu aitaka NASA ikubali Uhuru Kenyatta ni Rais halali

Na SAMMY LUTTA na VALENTINE OBARA Kwa Muhtasari: Askofu Sapit asema kipindi cha kampeni kilikamilika 2017 na nchi inahitaji...