Mbinu za mrengo wa ‘Tangatanga’ kuchelewesha mswada tata wa marekebisho ya sheria za vyama

Na CHARLES WASONGA SHUGHULI ya upigaji kura kwa marekebisho kadha yaliyopendekezwa kwenye Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya...

Duale ajitetea kwa madai alirejelea Kanisa Katoliki kama ‘cult’

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Garissa Mjini Aden Duale amejitetea kutokana na shutuma alizoelekezewa na Wakenya mitandaoni kwa madai kuwa...

Duale apendekeza bunge litwikwe wajibu wa kuifanyia Katiba mageuzi

Na KNA MBUNGE wa Garissa Mjini Aden Duale ametoa wito kwa vyama vya kisiasa nchini kuungana kuokoa Mswada wa Mageuzi ya Katiba kupitia...

Sababu za kumng’oa Duale

NA CHARLES WASONGA CHAMA tawala cha Jubilee Jumatatu asubuhi kimemng'oa mbunge wa  Garissa Mjini Aden Duale kutoka wadhifa wa Kiongozi...

Vigogo wa Ruto kichinjioni

Na MWANGI MUIRURI HARAKATI za kuwaondoa wandani wa Naibu Rais William Ruto katika nyadhifa mbalimbali bungeni zinatarajiwa kufikia...

Duale motoni tena

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumatatu aliahirisha mkutano wa baadhi ya wabunge wa Jubilee wanaopania kumg’oa Aden Duale...

Viongozi wa Kaskazini Mashariki wamtetea Duale

Na FARHIYA HUSSEIN VIONGOZI wa siasa kutoka Kaskazini Mashariki wamemtetea Mbunge wa Garissa Mjini Aden Duale mnamo kipindi ambapo...

Duale aponea

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Garissa Mjini Aden Duale ameponea na kuhifadhi kiti chake cha Kiongozi wa Wengi katika Bunge la Kitaifa...

Duale hatarini zaidi kwa ‘undumakuwili’ wake

NA CHARLES WASONGA BAADA ya Rais Uhuru Kenyatta kufaulu kuwang’oa wandani wa Naibu wake William Ruto kutoka uongozi wa Seneti shoka...

‘Ni kama kamba ya Aden Duale itakatikia pabovu’

Na CHARLES WASONGA BAADA ya Rais Uhuru Kenyatta kufaulu kuwang’oa wandani wa naibu wake William Ruto kutoka uongozi wa Seneti shoka...