Kocha auchemkia uongozi wa Ingwe Leopards kuhusu mishahara

Na CECIL ODONGO MKUFUNZI wa AFC Leopards Patrick Aussems jana alizama mtandaoni kulalamikia njaa huku akikashifu uongozi wa klabu hiyo...

Ochan, Sichenje watia saini kandarasi mpya Ingwe huku sajili wapya wa Gor wakipata vibali vya FIFA

Na CHRIS ADUNGO KIUNGO mkabaji Collins Sichenje na kipa Benjamin Ochan wamerefusha vipindi vya kuhudumu kwao kambini mwa mabingwa mara...

Afueni tele AFC Leopards wakipata udhamini wa Galana Oil Kenya

Na CHRIS ADUNGO MABINGWA mara 13 wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL), AFC Leopards, wamepigwa jeki kifedha baada ya kampuni ya Galana Oil...

Harrison Mwendwa katika rada kali ya AFC Leopards

Na CHRIS ADUNGO AFC Leopards wamejitosa rasmi katika vita vya kuwania huduma za fowadi matata wa Kariobangi Sharks, Harrison Mwendwa,...

Nyota walioshindia AFC Leopards taji mwaka 1998 na shughuli wanazofanya miaka 22 baadaye

Fahamu nyota walioshindia AFC Leopards taji la mwisho la Ligi Kuu miaka 22 iliyopita Na GEOFFREY ANENE KLABU ya AFC Leopards...

Sofapaka wataka AFC Leopards waombe msamaha kwa kuwadunisha

Na CHRIS ADUNGO KIKOSI cha Sofapaka kinachoshiriki Ligi Kuu ya Kenya (KPL) sasa kinataka mwenyekiti wa AFC Leopards, Dan Shikanda,...

Ingwe yang’aria Sofapaka tena mechi ya ligi KPL

Na GEOFFREY ANENE AFC Leopards ilionjesha Sofapaka makali yake baada ya kuichabanga 2-1 katika mechi ya kusisimua ya Ligi Kuu (KPL)...

K’Ogalo, Ingwe tayari kupepeta gozi KPL Jumapili

Na JEFF KINYANJUI na JOHN ASHIHUNDU MAKOCHA wote, Andre Casa Mbungo wa AFC Leopards na mwenzake Steven Polack wa Gor Mahia wameeleza...

Kibarua Ingwe ikigaragazana na ‘wadosi’ Wazito

Na CECIL ODONGO KIVUMBI kikali kinatarajiwa leo Jumamosi katika uga wa Bukhungu mjini Kakamega pale AFC Leopards itakapochuana na...

Leopards kusubiri Sharks gozi la Ligi

Na JOHN ASHIHUNDU MECHI za Ligi Kuu ya Kenya (KPL) zitarejelewa wikendi hii baada ya likizo ya wiki mbili. Baada ya kuanza msimu...

Wanyama asema hana pupa ya kujiunga na Club Brugge

Na GEOFFREY ANENE NYOTA Victor Wanyama hana haraka ya kujiunga na Club Brugge hadi pale atakuwa na uhakika klabu hiyo ya Ubelgiji...

JOPO LAUNDWA: Lawajibishwa na jukumu la kuweka mustakabali mwema klabuni AFC Leopards

Na JOHN ASHIHUNDU WANACHAMA na washikadau wa klabu ya AFC Leopards wameteua jopo la watu 10 kusimamia klabu hiyo kwa muda hadi uchaguzi...