WANDERI KAMAU: Uamuzi kuhusu Sankara ulete mwanga mpya Afrika

Na WANDERI KAMAU SABABU nyingi ambazo zimekuwa zikichangia maovu kuendelea Afrika na nchi zenye chumi za kadri, ni kutochukuliwa hatua...

Biden aahidi kushirikiana na Afrika

Na AFP WASHINGTON, Amerika RAIS wa Amerika Joe Biden Ijumaa aliahidi kushirikiana na Afrika katika nyanja mbalimbali huku akiahidi...

FAUSTINE NGILA: Kukwamilia WhatsApp ni ithibati Afrika haitambui usiri wa data

Na FAUSTINE NGILA JE, umehama kutoka mtandao wa kijamii wa WhatsApp? Iwapo ungali kwenye jukwaa hilo linalomilikiwa na Facebook, basi...

Bara la Afrika lalala huku dunia ikianzisha chanjo ya corona

LEONARD ONYANGO na MASHIRIKA NCHI za Afrika zimo hatarini kubaki nyuma katika vita dhidi ya virusi vya corona wakati mataifa mengine...

AU yazindua mfumo wa dijitali kukomesha corona barani

NA FAUSTINE NGILA HUKU mataifa kadha ya Afrika yekirejelea safari za ndege za kimataifa mwezi huu kwa mara ya kwanza tangu Machi, Umoja...

Afrika yashauriwa kukoma kuwanyima vijana nafasi maishani

NA ALLAN OLINGO VIONGOZI wa bara Afrika wamehimizwa kupatia kipaumbele masuala yanayohusu vijana. Suala hilo lilijitokeza katika...

Afrika yakosolewa kwa kushindwa kuzuia mikasa

Na JUMA NAMLOLA MJUMBE Maalum wa Umoja wa Ulaya, Bi Jutta Urpilainen, ameyahimiza mataifa wanachama wa Muungano wa Afrika, Carribean na...

WALIBORA: Uvumbuzi wa Kiafrika kwa matatizo yao ni hatua kubwa

Na KEN WALIBORA Kudidimia kwa utashi wa bidhaa za Afrika nchini Marekani, Ulaya na kwingineko kumechochea ari ya nchi za Kiafrika...

WANDERI: Afrika itahadhari kuhusu nia halisi ya Urusi

Na WANDERI KAMAU BAADA ya Rais Uhuru Kenyatta kujiunga na viongozi wengine wa Afrika majuma mawili yaliyopita nchini Urusi kwa kongamano...

NGILA: Bila ushirikiano kiteknolojia #AfricaRising itasalia ndoto tu

Na FAUSTINE NGILA RIPOTI ya hivi majuzi kuhusu uchumi wa dijitali iliyochapishwa na Umoja wa Mataifa (UN) imetoa takwimu za kushtua....

MUTUA: Mwafrika anajihini mengi kuchukia nduguye mweusi

Na DOUGLAS MUTUA HIVI chuki hii ya Mwafrika dhidi ya Mwafrika mwenzake anayeamua kuhamia ughaibuni kujitafutia riziki ilitokana na...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Sera ya lugha ya kufundishia katika mataifa ya Afrika

Na MARY WANGARI NCHINI Msumbiji, lugha ya kufundishia inayotumika ni Kireno, ingawa marekebisho ya Katiba ya taifa hilo ya mwaka 1990...