Ni wale wale wa ahadi hewa 2022

Na WANDERI KAMAU WANASIASA wakuu wanne waliotangaza nia ya kuwania urais mwaka ujao hawana kipya cha kuwafaa Wakenya, utathmini wa...

Msimu wa utapeli waanza

Na BENSON MATHEKA WANANCHI wameombwa kuwa macho dhidi ya kutapeliwa na wanasiasa ambao wameanza kuwatembelea mashinani kwa nia ya...

Ahadi juu ya ahadi

CHARLES WASONGA na VALENTINE OBARA HOTUBA ya Rais Uhuru Kenyatta bungeni jana kuhusu hali ya taifa,ilisheheni msururu wa ahadi huku zile...

2019: Mwaka wa ahadi hewa

Na BENSON MATHEKA MWAKA wa 2019 ulipoanza, Wakenya walikuwa na matumaini makubwa kwamba viongozi wa serikali wangewatimizia ahadi...