Jumwa aponyoka pingu kesi ya uuaji

NA BRIAN OCHARO MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, Jumanne aliponea chupuchupu agizo la kukamatwa kuhusiana na kesi ya mauaji...

Jumwa na wengine 6 wataka kesi ya ufisadi dhidi yao isikilizwe upya

Na PHILIP MUYANGA MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, na watu wengine sita wanaokabiliwa na mashtaka ya kushiriki ufisadi, sasa wanataka...

Mwamko mpya wanawake Pwani wakilenga ugavana

Na PHILIP MUYANGA KUONGEZEKA kwa idadi ya wanawake katika kinyang’anyiro cha ugavana eneo la Pwani kunaonyesha mabadiliko makubwa ya...

Jumwa adai serikali ya Kingi haijali wakazi

ALEX KALAMA na VALENTINE OBARA MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, ameisuta Serikali ya Kaunti ya Kilifi akidai kuwa haitilii maanani...

Kesi ya Jumwa yaahirishwa wakili Ombeta amalize kesi ya mauaji

Na MWANDISHI WETU MAHAKAMA KUU imeagiza kesi ya ufisadi inayomkabili mbunge wa Malindi, Aisha Jumwa, iahirishwe hadi kesi nyingine...

Yaibuka Ruto aligawia Jumwa GSU wawili ilhali ana kesi

Na IBRAHIM ORUKO NAIBU Rais William Ruto, amesemekana alimpa Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, maafisa wawili wa polisi wenye taaluma...

Wakili ataka Jumwa amlipe Sh22.6m

Na PHILIP MUYANGA MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, anatakiwa kulipa kampuni ya mawakili Sh22.6 milioni kwa kumwakilisha katika kesi ya...

Mawakili waliowakilisha Jumwa walia kuitiwa DCI

Na PHILIP MUYANGA MAWAKILI waliokuwa wakimwakilisha Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa katika kesi inayohusu madai ya ufisadi,...

Hakimu ashuku ipo njama kuchelewesha kesi ya ufisadi dhidi ya Jumwa

Na PHILIP MUYANGA MAHAKAMA ya kusikiliza kesi za ufisadi imelalamikia mienendo ya mawakili wa Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa na...

Jumwa ashindwa kushawishi mahakama iahirishe kesi yake ya tuhuma za ufisadi

Na PHILIP MUYANGA MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa pamoja na washukiwa wengine sita wa ufisadi walilazimika kujibu mashtaka licha ya...

Jumwa aonywa UDA itazima nyota yake

Na ALEX KALAMA WABUNGE wa chama cha ODM wamemwonya Mbunge wa Malindi, Bi Aisha Jumwa kwamba, nyota yake ya kisiasa iko hatarini kuzima...

Kesi ya Jumwa kuanza mwaka 2022

Na BRIAN OCHARO MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa huenda atalazimika kujitetea kortini wakati kampeni za kurithi kiti cha Gavana wa...