‘Wakenya milioni moja wamepoteza kazi’

NA PAUL WAFULA WAKENYA wapatao milioni moja wamepoteza ajira au kuwekwa kwa likizo isiyo na malipo kutokana na makali ya ugonjwa wa...

Mashakani kwa kujifanya waajiri hospitalini

TITUS OMINDE Watu wawili washtakiwa kwa ulaghai baada ya kumhadaa mwanabiashra mmoja na kupata Sh200,000 kwa madai kwamba wangemsaidia...

Corona yakosesha kazi Wakenya zaidi ya 300,000

Na WANDERI KAMAU ZAIDI ya Wakenya 300,000 wamepoteza ajira zao tangu kuzuka kwa virusi vya corona mnamo Machi, zimeonyesha takwimu...

Vijana 1,500 mjini Thika kunufaika na mpango wa serikali kuwapa ajira

Na LAWRENCE ONGARO VIJANA mjini Thika watanufaika na mpango wa serikali wa kuwaajiri kazi mitaani ili wajikimu kimaisha. Mbunge wa...

Corona ilivyozima ndoto za vijana

Na Steve Mokaya Huku gonjwa la COVID-19 likizidi kusagaa ulimwenguni kote na kuwaathiri walimwengu mbalimbali, vijana humu nchini...

Marufuku yafuta kazi maelfu ya wananchi

CHARLES WASONGA na WACHIRA MWANGI VITUO vya magari ya uchukuzi wa abiria kutoka Nairobi kwenda kaunti za mbali, jana vilisalia mahame...

RIZIKI: Habagui kazi licha ya kuwa mhitimu

Na SAMMY WAWERU MWANADADA huyu ni mhitimu wa mwaka 2012 lakini kufikia sasa analazimika kufanya kazi za juakali kwa sababu hajawahi...

RIZIKI: Mwanadada anayesema ajira haihitaji mtu kujiuza kimwili

Na SAMMY WAWERU KATIKA kikao cha mahojiano na Magdalene Wanjiru katika mkahawa mmoja kiungani mwa jiji la Nairobi, kila anapozungumza...

Walimu wapinga ajira ya kandarasi

Na RICHARD MUNGUTI WALIMU waliohitimu na ambao hawajaajiriwa na tume ya walimu nchini TSC wamepinga hatua ya kuajiriwa kama...

Sera duni kuhusu ajira, SMEs ndicho kiini cha ufukara Kenya – utafiti

Na MARY WANGARI SERA duni zinazowabagua wamiliki biashara ndogondogo na za wastani (SMEs) pamoja na ajira isiyo rasmi ndicho kiini cha...

Gavana apiga muuguzi kalamu kwa kuchelewa kufika kazini

Na OSCAR KAKAI MUUGUZI wa kituo cha afya katika Kaunti ya Pokot Magharibi, alifutwa kazi jana Gavana John Lonyangapuo alipozuru hapo...

Nafasi za kazi kwa wanaosaka ajira

NA MARY WANGARI Nini: Mwalimu Mkuu, Walimu wa Grade 1, PP1 Wapi: Shule ya The Firm Roots Unachohitaji: Cheti cha digrii au...