DCI yatahadharisha al-Shabaab imetuma magaidi kushambulia

BENSON MATHEKA MARY WAMBUI IDARA ya Uchunguzi wa Jinai (DCI) imetoa majina na picha za washukiwa wanane hatari wa kundi la Al Shabaab...

Wakazi walaumiwa kuficha al-Shabaab

Na KALUME KAZUNGU SERIKALI imewalaumu wakazi wa Kaunti ya Lamu hasa wanaoishi katika vijiji vinavyopakana na msitu wa Boni kwa kuwaficha...

KDF yafichua ilivyoteka Kismayu na Al-Shabaab

NA WACHIRA MWANGI KITENGO maalum cha boti katika Kikosi cha Jeshi la Wanamaji chenye makao yake Mtongwe, Kaunti ya Mombasa, kilichangia...

Dereva asimulia jinsi alivyookoa abiria basi lilipovamiwa na magaidi

SIAGO CECE na FARHIYA HUSSEIN HEBU tafakari kuhusu hali ambapo unakumbana na shambulio la kigaidi ambalo nusura litamatishe maisha...

Miaka 10 tangu auawe na Amerika, Osama bado ana ufuasi mkubwa

Na AFP MWONGO mmoja tangu alipowindwa na kuuawa nchini Pakistan na vikosi maalum vya Amerika, mwasisi wa Al-Qaeda, Osama bin Laden, bado...

KDF wavamia kambi ya Al Shabaab msituni Boni, waua wanne

MOHAMED AHMED NA KALUME KAZUNGU KIKOSI maalum cha wanajeshi wa Kenya jana kilivamia kambi ya kundi la magaidi wa Al Shabaab katika msitu...

Masharti ya usafiri ?yaimarishwa Lamu

NA KALUME KAZUNGU MADEREVA wa magari ya usafiri wa umma watakaokaidi masharti yaliyowekwa kwenye barabara ya Lamu kuelekea Mombasa ili...

Sh50 bilioni zaishia msituni

Na KALUME KAZUNGU SERIKALI imetumia zaidi ya Sh50 bilioni kukabiliana na magaidi wa Al-Shabaab katika Msitu wa Boni, Kaunti ya...

Polisi wafyatuliana risasi na washukiwa wa al-Shabaab Garissa

Na FARHIYA HUSSEIN POLISI na wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab walifyatuliana risasi Kaunti ya Garissa baada ya gari la maafisa...

Mshukiwa wa Al-Shabaab ajisalimisha kanisani

Na BRIAN OCHARO MWANAMUME ambaye anashukiwa ni mwanachama wa zamani wa kundi la kigaidi la al-Shabaab, alijitokeza kanisani kutubu na...

Washukiwa watatu wa al-Shabaab wanaswa Thika, wahojiwa na ATPU

Na LAWRENCE ONGARO KIKOSI cha maafisa wa usalama Kiambu kipo imara kukabiliana na uvamizi wowote unaoweza kutokea wakati wowote katika...

Washukiwa wawili wa al-Shabaab waliovamia kituo wauawa Garissa, raia wanne waangamia

Na BRUHAN MAKONG WASHUKIWA wawili wa al-Shabaab wameuawa, lakini raia wanne nao wakiangamia baada ya wapiganaji hao kushambulia kituo...