Uhispania wakabwa koo na Ugiriki

Na MASHIRIKA UHISPANIA walijikwaa katika mechi yao ya kwanza ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia baada ya kulazimishiwa sare ya 1-1...

Morata abeba Juventus hadi hatua ya 16-bora katika UEFA

Na MASHIRIKA BAO la dakika ya mwisho wa kipindi cha pili kutoka kwa mshambuliaji Alvaro Morata lilisaidia Juventus kuzamisha chombo cha...

Alvaro Morata arudi Juventus kwa mkopo kutoka Atletico Madrid

Na MASHIRIKA JUVENTUS wamemsajili upya mshambuliaji Alvaro Morata, 27, kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Atletico Madrid. Raia huyo wa...