Wazee watangaza kuhubiri amani 2022

Na KNA BARAZA la Wazee katika Kaunti ya Mombasa limejitolea kuhubiri amani na kutoa ushauri kwa wananchi na wanasiasa kuhusu umuhimu wao...

Wachungaji waomba amani idumu Kenya inapojiandaa kwa uchaguzi mkuu

Na LAWRENCE ONGARO WACHUNGAJI wa makanisa wameitaka serikali iwe makini kuhakikisha amani na usalama unadumu nchini. Wakiongozwa na...

Serikali kutumia vijana na wanabodaboda kuendesha kampeni ya amani kuelekea 2022

Na CHARLES WASONGA SERIKALI itatumia makundi ya vijana na waendeshaji bodaboda kuendesha mipango ya kudhibiti ghasia zinazohusiana na...

WANDERI KAMAU: Tukumbuke amani ni deni tutajilipia sisi wenyewe

Na WANDERI KAMAU KUFUATIA ghasia za kikabila zilizoshuhudiwa nchini kati ya 1991 na 1992, marehemu Daniel Moi aliteua tume maalum...

Wakristo wahimizwa waombe Kenya iwe nchi ya amani

Na LAWRENCE ONGARO WAKRISTO wamehimizwa kumuomba Mungu ili amani idumu Kenya mwaka huu wa 2020 na raia na wageni wadumishe...

Abiy ashinda Tuzo ya Amani ya Nobel kwa kuzima mvutano baina ya Ethiopia na Eritrea

Na BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta amempongeza Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kwa kutunukiwa Tuzo ya Mwaka 2019 ya Amani ya...

Rais, mpinzani wake watia saini mkataba kuzima vita Msumbiji

Na MASHIRIKA na MWANGI MUIRURI MAPUTO, MSUMBIJI RAIS wa Msumbiji Filipe Nyusi na kiongozi wa chama cha upinzani cha Renamo, Ossufo...

Viongozi wanawake kuomboleza hadharani mauti ya misukosuko ya ndoa na uchumba

Na MWANGI MUIRURI WABUNGE wanawake katika Seneti, Kaunti na bunge la kitaifa kwa ushirikiano na wadau wengine wa kutetea haki za...

Nathan Abuti: Anatumia baiskeli kueneza ujumbe wa amani

Na SAMMY WAWERU UNAPOMTAZAMA akiendesha baiskeli yake iliyopambwa kwa bendera za mataifa mbalimbali, utadhani anafanya hivyo kwa ajili ya...

Ulikuwa uamuzi mchungu sana kukutana na Uhuru – Raila Odinga

Na RUTH MBULA na BARACK ODUOR Kwa ufupi: Raila asema haikuwa rahisi kwake kukubali kuketi pamoja na Rais Kenyatta na kutia saini...