Amerika kushirikiana na utawala mpya 2022

Na RUSHDIE OUDIA AMERIKA imesema itaisaidia Kenya kuandaa uchaguzi huru na wenye haki mwaka 2022. Hilo pia litaisaidia Kenya kuepuka...

Faraja ulimwenguni baada ya Amerika kufungua mipaka yake kwa wageni

Na AFP WASHINTON, Amerika AMERIKA Jumatatu ilifungua mipaka yake kwa wageni ambao wamepata dozi zote za chanjo ya kuzuia Covid-19....

WANDERI KAMAU: Amerika inavyotumia unafiki kuendeleza uporaji

Na WANDERI KAMAU UKOLONI-mamboleo haujikiti kwenye siasa pekee. Vilevile, upo kwenye mawanda ya kiuchumi, kidini, kitamaduni na...

Vipusa wa Amerika watinga robo-fainali za soka ya Olimpiki licha ya kukabwa koo na Australia

Na MASHIRIKA MABINGWA wa dunia Amerika walifuzu kwa robo-fainali za Olimpiki licha ya kulazimishiwa sare tasa na Australia kwenye...

Waamerika wafurahia utendakazi wa Biden siku 100 baadaye

Na AFP HUKU akiadhimisha miaka 100 tangu aingie madarakani, Rais wa Amerika Joe Biden ameonekana kutekeleza ahadi nyingi alizotoa kwa...

Sokomoko mpya Amerika raia mwingine mweusi akiuawa

NA MASHIRIKA MAANDAMANO makubwa jana yalizuka viungani mwa jiji la Mineapolis, Amerika baada ya polisi kumpiga risasi raia mweusi karibu...

DOUGLAS MUTUA: Kenya, Afrika zitafaidikaje kwa utawala wa biden?

Na DOUGLAS MUTUA SERIKALI mpya ya Marekani inatarajiwa kuwa na athari kubwa nchini Kenya na barani Afrika kwa jumla ikilinganishwa na...

WANDERI KAMAU: Tusimhukumu Trump, tujifunze kutoka kwa makosa yake

Na WANDERI KAMAU NI dhahiri kwamba huwa vigumu sana kwa marais wanaong’atuka uongozini baada ya kushindwa na wapinzani wao kwenye...

MWISHO WA GIZA!

NA WAANDISHI WETU RAIS anayeondoka wa Amerika Donald Trump ameingia katika historia ya Amerika kama rais pekee aliyepigiwa kura ya...

Kibarua cha kurejesha hadhi ya Amerika duniani chaanza

MASHIRIKA na SAMMY WAWERU Ni bayana Bw Joe Biden ndiye Rais wa 46 wa Amerika, nchi yenye ushawishi mkubwa duniani, baada ya kuapishwa...

Demokrasia imeshinda, asema Biden baada ya kuapishwa kuwa Rais

CHARLES WASONGA NA MASHIRIKA NI rasmi sasa kwamba Joe Biden ndiye Rais wa 46 wa Amerika baada ya kula kiapo cha afisi Jumatano, Januari...

Amerika sasa yataka jopo libuniwe kuchunguza matokeo ya uchaguzi wa Uganda

IRENE ABALO OTTO na ANDREW BAGALA AMERIKA sasa inataka tume huru ya uchaguzi nchini Uganda kukagua matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika...