Rais awaongoza Wakenya kumwomboleza mumewe waziri Amina Mohamed

Na WINNIE ONYANDO RAIS Uhuru Kenyatta anawaongoza Wakenya katika kutoa rambirambi kwa Waziri wa Michezo na Turathi Bi Amina Mohamed...

Waziri apongeza Lionesses kujikatia tiketi ya fainali ya Zoni ya Tano

Na GEOFFREY ANENE WAZIRI wa Michezo Amina Mohamed amepongeza Kenya Lionesses kwa kupiga wenyeji Rwanda 79-52 katika nusu-fainali ya...

Amina matumaini tele Kenya itapata idhini ya kuandaa Riadha za Dunia za 2025

Na CHRIS ADUNGO WAZIRI wa Michezo, Amina Mohamed, ni mwingi wa matumaini kwamba Kenya itapata idhini ya kuwa mwenyeji wa Riadha za Dunia...

Soka ya Ligi Kuu yarejea baada ya Wizara ya Michezo kulegeza masharti ya kudhibiti maambukizi ya Covid-19

Na CHRIS ADUNGO WIZARA ya Michezo imeidhinisha kurejelewa kwa mashindano ya soka, hoki na vikapu bila ya mahudhurio ya...

Miti milioni 19 kupandwa kwa ajili ya Safari Rally

Na GEOFFREY ANENE WAZIRI wa Michezo Amina Mohamed amefichua kuwa Kenya inapanga kupanda miti milioni 19 kwa kipindi cha miaka mitatu...

EAC sasa yaungana kumuunga mkono Amina Mohamed kuwa kinara wa WTO

NA FAUSTINE NGILA NI RASMI kuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) sasa inampigia upatu Waziri wa Michezo Amina Mohamed kuwa kinara wa...

Amina aunda kamati ya kuishauri wizara yake jinsi michezo itakavyorejelewa nchini

Na CHRIS ADUNGO WAZIRI wa Michezo, Amina Mohamed ameunda kamati ya watu 18 kutathmini mapendekezo ya wadau mbalimbali na kushauri...

Michezo yatengewa asilimia kubwa zaidi ya bajeti katika historia

Na CHRIS ADUNGO SEKTA ya michezo imetengewa kiwango kikubwa zaidi cha fedha kwa mara ya kwanza katika historia kwenye bajeti ya kitaifa...

‘Serikali itawalipa wanamichezo kwa miezi miwili na wa tatu yatarajia mashirika na kampuni zitawafaa’

Na ABDULRAHMAN SHERIFF JANGA la corona limesababisha timu kadhaa za taifa za michezo na wanamichezo kushindwa kwenda ng’ambo kushiriki...

Wizara yafuatilia shughuli za ujenzi wa uwanja wa kisasa Mombasa

Na ABDULRAHMAN SHERIFF WAPENZI wa mchezo wa mpira wa miguu Mombasa na sehemu nyinginezo za mwambao wa Pwani wana matumaini uwanja wao wa...

Wanasoka wa KPL kupokea Sh10,000 kila mmoja kila mwezi kutoka kwa serikali kipindi hiki kigumu

Na CHRIS ADUNGO WAZIRI wa Michezo, Amina Mohamed, amethibitisha kwamba wachezaji wa Ligi Kuu ya Soka ya Kenya (KPL) watakuwa wakipokezwa...

TAHARIRI: Uteuzi wa Amina kuinua spoti nchini

Na MHARIRI HALI ya mchezo wowote inaweza kuimarika ikiwa viongozi wake watajitahidi kusaidia mipango ya kuinua sekta hiyo. Usimamizi wa...