Mudavadi avuliwa wadhifa wa msemaji wa Waluhya

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa ANC Musalia Mudavadi amevuliwa wadhifa wa msemaji wa jamii ya Waluhya na mahala pake kuchukuliwa na Naibu...

Mpasuko OKA ANC ikitishia kujiondoa

Na CHARLES WASONGA MPASUKO ndani ya muungano wa One Kenya Alliance (OKA) uliendelea kudhihirika Jumapili siku moja baada ya chama cha...

Mudavadi avuna wanachama 350 kutoka Jubilee

Na MWANGI MUIRURI CHAMA cha Musalia Mudavadi, ANC, Jumanne kimeendelea kuvuna wafuasi wa Rais Uhuru Kenyatta katika Kaunti ya Murang’a...

Cleophas Malala atupwa nje

Na CHARLES WASONGA BARAZA la uongozi la chama cha ANC limemfukuza Seneta wa Kaunti ya Kakamega Cleophas Malala kutoka chama...

Viongozi wa vyama kadhaa nchini Kenya waendelea kubamizwa ukutani

Na SAMMY WAWERU BAADHI ya wanachama wa Amani National Congress, ANC, wameanza kuitisha uchaguzi mpya wa uongozi wa chama hicho. Bw...

Mudavadi afanye kazi na Uhuru?

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha Amani National Congress (ANC) Jumanne kitafanya mkutano wa kundi la wabunge na maseneta wake (PG) huku duru...

ODM yatema 9 Kibra huku Jubilee na ANC zikijitosa kwa kinyang’anyiro

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha ODM kimewafungia nje tisa miongoni mwa watu waliojitokeza kutaka kuwania kiti cha ubunge cha Kibra kwa...

Osotsi atimuliwa ANC

Na PETER MBURU CHAMA cha ANC kinachoongozwa na Musalia Mudavadi Jumanne kilimtimua aliyekuwa Katibu wake Mkuu Godffrey Osotsi, siku...

ANC yalia kudhalilishwa na ODM

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha Amani National Congress (ANC) kimelalamikia kuondolewa kwa Mbunge wa Emuhaya Omboko Milemba kutoka kwa...

Mpango wa ANC, Ford-K kuungana wasambaratika

Na SHABAN MAKOKHA TANGAZO la naibu kiongozi wa Ford-Kenya, Boni Khalwale kwamba, atamuunga mkono Naibu Rais William Ruto kuwania urais...

Hatuna deni la Ruto, ODM na ANC waambia wafuasi

Na JUSTUS OCHIENG VYAMA vya ODM na Amani National Congress (ANC) vilisema kwamba havina deni la kisiasa la Naibu wa Rais William Ruto...

Ford Kenya na ANC wakosa kuafikiana

Na SHABAN MAKOKHA MGAWANYIKO umezuka kati ya viongozi wa chama cha Ford Kenya na ANC kuhusu mtindo wa kuwachagua viongozi wao wakuu...