Baadhi ya vijana wa Angaza Youth wazuru Ufaransa kupitia ufadhili

Na LAWRENCE ONGARO WASICHANA watatu na wavulana wawili wa timu ya Angaza Youth Team yenye mizizi yake Kiandutu, Thika, walizuru Ufaransa...