Korti yaamua Obure ana kesi ya kujibu sakata ya Sh1.3b

Na RICHARD MUNGUTI WAZIRI Msaidizi wa Uchukuzi Chris Obure ana kesi ya kujibu kuhusiana na sakata ya Sh1.3 bilioni ya Anglo-Leasing...

Washukiwa wa Anglo-Leasing wamshangaa DPP kuhusu ushahidi

Na RICHARD MUNGUTI. WASHUKIWA wa sakata ya Anglo-Leasing ambapo serikali ilipoteza zaidi ya Sh4.3 bilioni Jumatano walilalamika...

ANGLO LEASING: Polisi aamriwa kutoa ushahidi

Na RICHARD MUNGUTI HAKIMU mwandamizi Bi Martha Mutuku Jumatatu alimwamuru afisa mkuu wa Polisi aliyepokea ushahidi katika kashfa ya...

Ushahidi wa Anglo-Leasing kupeperushwa moja kwa moja kutoka Uingereza

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA inayosikiza kesi ya kashfa ya Anglo-Leasing itapokea ushahidi kwa njia ya mtandao kutoka Uingereza kuanzia...

ANGLO LEASING: Githu na Wako waeleza mabilioni yalivyotoweka

Na RICHARD MUNGUTI WALIOKUWA wanasheria wakuu Mabw Amos Wako na Prof Githu Muigai Alhamisi walieleza jinsi waliomba mataifa ya kigeni...

Mchunguzi wa Uswizi atoboa siri ya Anglo-Leasing

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Jaji wa Mahakama ya Juu nchini Uswizi Dkt Mark Henzline (pichani) aliyeombwa na Serikali achunguze...

Ushahidi wa Wako na Githu kuhusu Anglo-Leasing wasubiriwa

Na RICHARD MUNGUTI NAIBU wa Mkurugenzi wa mashtaka ya umma (DPP) Nicholas Mutuku Jumatano aliambia mahakama waliokuwa wanasheria wakuu...

Niliamuru kufutwa kwa zabuni za Anglo-Leasing – Kinyua

Na RICHARD MUNGUTI MKUU wa Utumishi wa Umma Bw Joseph Kinyua Jumatano alifichua kuwa aliamuru kufutiliwa mbali kwa kandarasi za kashfa ya...

Githu Muigai apewa miezi mitatu kujiandaa kwa kesi ya Anglo-Leasing

Na RICHARD MUNGUTI HAKIMU mwandamizi Bi Martha Mutuku Jumatano alikashifu afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) kwa kutowapa...