Kananu ageuzwa ‘gavana kinyago’ mbele yake Uhuru

Na WANDERI KAMAU MASWALI yameibuka baada ya Gavana Anne Kananu wa Nairobi kukosa kupewa nafasi ya kuhutubu wakati wa sherehe za Sikukuu...

Kananu kaangukia minofu kweli

Na BENSON MATHEKA GAVANA wa Nairobi Ann Kananu Mwenda anaweza kufananishwa na mtu aliyeangukia kiti hicho kwa kuwa ndiye gavana wa pekee...

Majaji watano wa mahakama ya juu waamuru Kananu aapishwe gavana wa Nairobi

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Juu jana ilifutilia mbali agizo la kuzuia kuapishwa kwa Bi Anne Kananu kuwa Gavana wa Nairobi. Sasa Bi...

Kananu kuapishwa kumrithi Mike Sonko

Na RICHARD MUNGUTI NAIROBI itapata Gavana mpya baada ya Mahakama ya Rufaa kuamuru Naibu Gavana Anne Kananu aapishwe mara...

Mchakato kusaka Naibu Gavana wa Nairobi waanza

Na COLLINS OMULO JUHUDI za kumtafuta yule atakayehudumu kama Naibu Gavana katika Kaunti ya Nairobi zinaendelea kushika kasi, huku Bi Ann...

Uhuru atandika Ruto 3-0

Na BENSON MATHEKA MPANGO wa Naibu Rais William Ruto (kwenye picha) kushindana na Rais Uhuru Kenyatta kudhibiti jiji kuu la Nairobi...

Kananu aahidi kuunga mkono BBI

Na CHARLES WASONGA ANN Kananu Mwenda ambaye amechunguzwa na Kamati ya Bunge la Kaunti ya Nairobi kubaini ufaafu wake kwa kiti cha Naibu...

Kananu aidhinishwa kuwa Naibu Gavana wa Nairobi

 Na CHARLES WASONGA BUNGE la Kaunti ya Nairobi hatimaye limeidhinisha uteuzi wa Anne Kananu Mwenda kuwa Naibu Gavana. Kwenye kikao...

Ugavana wa Nairobi wazidi kukanganya

Na RICHARD MUNGUTI KAUNTI ya Nairobi inaendelea kuzingirwa na mkanganyiko wa kiuongozi, baada ya mahakama kutoa mwanya unaoweza kutoa...