Suala la ardhi latumiwa kama chombo kumega kura za Pwani

Na PHILIP MUYANGA Ni donda ndugu ambalo kila wakati wa siasa unapofika kama ilivyo sasa kinatoneshwa na wale wanaojitakia nyadhifya...

Wamrai Rais asaidie kutatua mzozo wa ardhi waliyorithi

Na GEORGE MUNENE WAKAZI wa Mbeere Kusini katika Kaunti ya Embu, wanamtaka Rais Uhuru Kenyatta, kusaidia kutatua mzozo wa muda mrefu...

Kaunti yasaidia wakazi kukata rufaa ya ardhi

Na Maureen Ongala SERIKALI ya Kaunti ya Kilifi imeamua kutoa msaada wa kisheria kwa wakazi wa eneo la Kadzuhoni, Wadi ya Gongoni, katika...

Vyombo vya habari vishirikiane na NLC kuripoti visa vya unyakuzi wa ardhi

Na SAMMY WAWERU TUME ya Kitaifa ya Ardhi (NLC) imevihimiza vyombo vya habari kuisaidia katika uangaziaji wa masuala ya ardhi na mashamba...

Shughuli za ardhi kufanyika kidijitali

NA PSCU RAIS Uhuru Kenyatta jana alizindua mfumo wa dijitali wa kusimamia rekodi za ardhi zikiwemo hati miliki. Mfumo huo unaofahamika...

FAUSTINE NGILA: Tuwazime wafisadi iwapo tunataka teknolojia itufae

Na FAUSTINE NGILA Inashangaza kuwa licha ya Kenya kupiga hatua kubwa katika maendeleo ya kiteknolojia, karatasi bado zinatumika katika...

Mahangaiko tele familia zilizofurushwa katika ardhi zao zikiishi shuleni

Na George Munene MAMIA ya familia zilizofurushwa kutoka nyumba zao eneo la Makina, Kaunti ya Embu wiki jana, sasa zinaishi kwenye makao...

Shirika linavyohangaishwa na wanyakuzi wa ardhi

Na SAMMY WAWERU SHIRIKA la Mifugo Nchini (DVS) lilizinduliwa mwaka wa 1895 na serikali ya mkoloni. Uzinduzi wa taasisi hii ya kiserikali...

Kaunti yaanza kuwalipa fidia wakazi wa Buxton

Na SIAGO CECE SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imeanza kuwalipa pesa wakazi wa Buxton ili kuwasaidia kuhamia kwingineko baada ya nyumba zao...

Uhuru aamuru ardhi ya KDF irejeshewe jamii ya Samburu

Na GEOFFREY ONDIEKI RAIS Uhuru Kenyatta ameamuru kuhamishwa kwa kituo cha mafunzo ya Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kutoka maeneo ya...

Wajomvu sasa wataka warudishiwe ardhi yao

Na WACHIRA MWANGI JAMII ya Wajomvu katika Kaunti ya Mombasa, inataka uchunguzi kuanzishwa kuhusu dhuluma za kijadi dhidi yao, ili...

NLC yataka maskwota wa tangu ukoloni sasa wapewe makao

Tom Matoke na Onyango K’Onyango TUME ya Kitaifa kuhusu Ardhi (NLC) imeiomba Wizara ya Ardhi kuwatafutia makao zaidi ya watu 500 ambao...