Argentina pua na mdomo kufuzu kwa Kombe la Dunia baada ya kukung’uta Uruguay

Na MASHIRIKA ARGENTINA wanatarajiwa kufuzu kwa fainali zijazo za Kombe la Dunia nchini Qatar baada ya kusajili ushindi wa 1-0 dhidi ya...

Argentina na Paraguay waambulia sare tasa katika mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia 2022

Na MASHIRIKA ARGENTINA walishindwa kupenya ngome ya Paraguay waliowalazimishia sare tasa katika mechi ya Alhamisi usiku kufuzu kwa...

Gozi la Brazil dhidi ya Argentina latibuka kwa madai wanasoka wanne wa Argentina walikiuka kanuni za Covid-19

Na MASHIRIKA GOZI la Jumapili la kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia za 2022 kati ya wenyeji Brazil na Argentina lilitibuka dakika...

Argentina wakung’uta Brazil na kutwaa taji la Copa America

Na MASHIRIKA SUBIRA ya Lionel Messi kutia kapuni taji la kwanza katika soka ya kimataifa hatimaye ilimvutia heri Jumamosi usiku Argentina...

Argentina na Chile watoka sare ya 1-1 kwenye mechi ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia 2022

Na MASHIRIKA ARGENTINA walipoteza fursa ya kuwapita Brazil kileleni mwa jedwali la vikosi vinavyowania tiketi ya kufuzu kwa fainali za...

Uadui wa Argentina, Brazil wafufuka leo Ijumaa

Na MASHIRIKA ARGENTINA itakaribisha washambuliaji matata Lionel Messi na Sergio Aguero katika kikosi chake itakapofufua uhasama leo...

Argentina wawafagia Qatar, sasa ni Venezuela robo fainali

Na MASHIRIKA PORTO ALEGRE, BRAZIL NYOTA wa Manchester City, Sergio Aguero aliwafungia Argentina bao la pili katika ushindi wa 2-0...