AKILIMALI: Ufugaji nyuki washika kasi biashara ya asali ikinoga

Na SAMMY WAWERU BLOSSOMS & Beehives ni duka la asali katika Soko la Wakulima na Wafugaji la Nairobi Farmers Market lililoko katikati...

Hofu uvamizi wa nzige unapunguza asali

Na Geoffrey Ondieki UVAMIZI wa nzige nchini sasa unaangamiza nyuki na kuchangia kupungua kwa uzalishaji wa asali katika kaunti...

Ubunifu wa mitego maalum unavyomsaidia kurina asali

Na SAMMY WAWERU Ikiwa kuna mfumo wa kiteknolojia anaopigia upatu baada ya kuukumbatia mnamo 2017, ni matumizi ya mitego ya kipekee kuteka...

KWA KIFUPI: Asali ni dawa ya kikohozi – Utafiti

Na LEONARD ONYANGO IKIWA unasumbuliwa na kikohozi, mafua au kufungana kwa koo na pua, unaweza kujaribu kutumia asali. Watafiti wa...

Kaunti kujenga kiwanda cha kusafisha asali

Na Samuel Baya SERIKALI ya Kaunti ya Nakuru imepanga kutumia Sh5 milioni kujenga kiwanda cha kusafisha asali katika kaunti...

Biashara ya mizinga ilivyomwinua kiuchumi

NA RICHARD MAOSI Mchango wa kufuga nyuki ni mkubwa katika azma ya wakulima wadogo kujiongezea kipato, ikiaminika kuwa hakuna kiumbe...

SIHA NA USAFI: Jinsi ya kuondoa vipele puani (whiteheads)

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmeida.com HIVYO vitu vyeupe vilivyomo puani ni ngozi zilizokufa “dead skins” ambazo zikikutana...

Mapolo wasaka mwizi wa asali

Na JOHN MUSYOKI BANANA, KIAMBU JAMAA mmoja aliyedaiwa kuchovya asali kwa mama pima na kutoroka anasakwa na mapolo waliodai aliramba...

Jombi atemwa kwa kukataa kuchovya asali

 Na LEAH MAKENA HANANTU, THARAKA NITHI JAMAA wa hapa alitemwa na demu wake kwa kukataa kuchovya asali akisema hangejihusisha na...

Afariki baada ya kubugia pombe ya asali

Na PETER MBURU MWANAMUME kutoka kijiji cha Ntoombo, eneo la Tigania Magharibi katika Kaunti ya Meru alifariki Jumapili, huku wenzake...

AKILIMALI: Licha ya ulemavu wake, yuko mstari wa mbele kufuga nyuki

NA PETER CHANGTOEK LICHA ya ulemavu alionao, amekuwa akishughulikia ufugaji wa nyuki kwa muda wa zaidi ya miaka 20. Bw Samwel Tangus,...

Mama arudi kwao akilia mume hachovyi asali

NA MIRRIAM MUTUNGA MUKONDE, MBOONI MAMA wa hapa aliwashangaza wakazi kwa kufunganya virago na kurudi kwa wazazi wake akidai kuwa...