Villa yamwaga 674 Millioni kunyakua kocha Gerald

Na MASHIRIKA Aston Villa imeajiri Steven Gerrard kuwa kocha wake mkuu kutoka klabu ya Rangers. Inaaminika kuwa Villa imelipa Sh673.8...

Aston Villa wamtimua kocha Dean Smith kwa sababu ya matokeo duni

Na MASHIRIKA ASTON Villa wametimua kocha Dean Smith baada ya kudhibiti mikoba yao kwa kipindi cha miaka mitatu. Smith, 50, anaondoka...

Ondoka Jack Grealish, ingia ?kiungo stadi Emi Buendia!

Na GEOFFREY ANENE EMILIANO Buendia Stati ni mmoja wa wachezaji ambao Aston Villa inatumai kutumia msimu 2021-2022 kumaliza ukame wa...

Newcastle United na Aston Villa waridhika na sare katika gozi la EPL

Na MASHIRIKA BAO la dakika ya mwisho wa kipindi cha pili kutoka kwa Jamaal Lascelles lilisaidia Newcastle kuwalazimishia Aston Villa sare...

Aston Villa wapepeta Leeds United na kuweka hai matumaini ya kushiriki soka ya bara Ulaya muhula ujao wa 2021-22

Na MASHIRIKA ASTON Villa walipepeta Leeds United 1-0 mnamo Jumamosi uwanjani Elland Road na kuweka hai matumaini ya kusakata soka ya...

Aston Villa waponea chupuchupu kuteremshwa ngazi kwenye EPL

Na CHRIS ADUNGO ASTON Villa watasalia kunogesha kivumbi cha Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu ujao baada ya kuwalazimishia West Ham...

EPL kurejelewa Juni 17

Na CHRIS ADUNGO KAMPENI za Ligi Kuu ya Uinegreza (EPL) sasa zitarejelewa Juni 17, 2020, kwa mechi mbili zitakazokutanisha Aston Villa na...

Manchester City kukosa Rodri gozi na Aston Villa

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza MANCHESTER City wataingia uwanjani leo Jumamosi kucheza na Aston Villa bila kiungo mahiri Rodri...