EPRA: Atwoli aitaka wizara husika ajitokeze kumtetea raia wa kipato cha chini

Na CHARLES WASONGA KATIBU Mkuu wa Muungano wa Wafanyakazi Nchini (COTU) Francis Atwoli ameitaka wizara husika iingilie kati ongezeko la...

Nitamwambia Uhuru akutimue, Atwoli amtishia Kagwe

RUSHDIE OUDIA Na SAMMY WAWERU Katibu Mkuu wa Cotu Bw Francis Atwoli amemtaka Waziri wa Afya Mutahi Kagwe kufutilia mbali notisi aliyotoa...

Joto la siasa linafukuza wawekezaji – Atwoli

Na BENSON MATHEKA KATIBU Mkuu wa Muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini Cotu, Bw Francis Atwoli amesema kwamba joto la kisiasa...

Mudavadi bado ndiye msemaji wetu – Atwoli

Na WANDERI KAMAU KATIBU Mkuu wa Chama cha Kitaifa cha Wafanyakazi (COTU), Bw Francis Atwoli, amesema kuwa angali anamtambua kiongozi wa...

Dawa ya kuzima Ruto kuingia Ikulu 2022 ni BBI – Atwoli

Na VALENTINE OBARA MPANGO wa Maridhiano (BBI) utatumika kuhakikisha Naibu Rais William Ruto hapati tiketi ya kuwania urais 2022, Katibu...

Tusifunike uzuri wake Moi kwa mabaya yake – Viongozi

Na WANDERI KAMAU RAIS Mstaafu Daniel Moi alikuwa kama binadamu wa kawaida, hivyo hapaswi kulaumiwa kwa baadhi ya makosa yaliyotokea...

Atwoli atoa salamu za pole kwa familia ya Moi, afananisha Nyayo na BBI

Na WANDERI KAMAU KATIBU Mkuu wa Chama cha Kitaifa cha Wafanyakazi (Cotu-K) amesema kuwa Rais Mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi alikuwa...

Ni Raila Atwoli anayetaka

Na BENSON AMADALA BAADHI ya viongozi kutoka eneo la Magharibi wamemkashifu Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyikazi (Cotu), Bw...

Ruto amtafute Mzee Moi amsamehe – Atwoli

NA TITUS OMINDE KATIBU Mkuu wa Muungano wa wafanyikazi nchini (COTU), Bw Francis Atwoli amemtaka Naibu Rais William Ruto kumtafuta kwa...

‘Sababu zangu kuoa manyanga’

Na LEONARD ONYANGO KATIBU wa Muungano wa Wafanyakazi nchini (Cotu) Francis Atwoli, ameeleza hadharani sababu zake za kuoa mke wa pili;...

Atwoli akasirishwa na hatua ya TSC kukata mishahara ya walimu

Na MARY WANGARI KATIBU Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi Nchini (COTU) Bw Francis Atwoli amekasirishwa na hatua ya Tume ya...

Wabunge waongezewe mishahara, Wakenya wamewageuza benki – Atwoli

Na CHARLES WASONGA SIKU chache baada ya juhudi zake za kutaka serikali iwape wafanyakazi nyongeza ya mishahara ya asilimia 15 kugonga...