Polisi wanyama waadhibiwe, kafyu ianze saa tatu – Dkt Aukot

VICTOR RABALLA NA FAUSTINE NGILA KIONGOZI wa chama cha Thirdway Alliance Kenya Dkt Ekuru Aukot ameitaka serikali kuwachukulia hatua kali...

WASONGA: Mapendekezo ya Aukot yashirikishwe katika BBI

Na CHARLES WASONGA JOPOKAZI la Maridhiano (BBI) linatarajiwa kuwasilisha ripoti yake kwa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila...

Aukot adai Mswada wa Punguza Mizigo uliyumbishwa na wanasiasa wenye tamaa

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa Thirdway Alliance Dkt Ekuru Aukot amesema kuanguka kwa Mswada wa Punguza Mizigo kumechangiwa zaidi na...

JAMVI: Huenda Ekuru Aukot ni mradi wa serikali kuhusu kura ya maamuzi

Na CHARLES WASONGA MJADALA kuhusu mageuzi ya Katiba kupitia kura ya maamuzi sasa umechukua msukumo mpya kufuatia hatua ya Kiongozi wa...

IEBC yakagua nusu ya saini za ‘Punguza Mzigo’

Na WANDERI KAMAU TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), imekagua nusu ya saini ambazo ziliwasilishwa na chama cha Thirdway Alliance,...

IEBC yasubiriwa kuidhinisha sahihi za Thirdway Alliance kutoa nafasi kwa kura ya maamuzi

Na CHARLES WASONGA WAKENYA watashiriki kura ya maamuzi ikiwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) itathibitisha sahihi 1.4 milioni...

JAMVI: Hofu kuwa katiba inayopendekezwa itakuwa ghali zaidi

Na LEONARD ONYANGO KATIBA mpya inayopendekezwa huenda ikawa ghali zaidi kutekelezwa kuliko Katiba ya 2010. Wanaunga mkono...

Aukot awarai Wakenya kuunga mkono kampeni ya #PunguzaMzigo

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Chama cha ThirdWay Alliance Ekuru Aukot amewataka Wakenya kuungana mkono mchakato wa marekebisho ya...

REFERENDA: Thirdway Alliance yakusanya sahihi 617,800

Na MILLICENT MWOLOLO CHAMA cha Thirdway Alliance kimekusanya sahihi 617,800 za wapigakura wanaotaka marekebisho ya katiba kufikia sasa,...