AUNTY POLLY…: Anihonga nifungue kisima, nifanyeje?

Na PAULINE ONGAJI KATIKA fleti ninamoishi kuna kijana fulani wa kiume ambaye amekuwa akinifuata kwa miezi kadha sasa huku akitaka niwe...

AUNTY POLLY: Nitajuaje taaluma itakayonifaa?

Na PAULINE ONGAJI NATARAJIWA kukamilisha elimu ya shule ya upili mwaka huu 2019, suala ambalo limekuwa likinikosesha usingizi, hasa...

AUNTY POLLY: Nitajuaje ikiwa ana maradhi ya zinaa?

Na PAULINE ONGAJI MIMI ni mwanafunzi wa kike ambaye yuko katika chuo kikuu. Nina mpenzi niliyekutana naye chuoni miezi kadha iliyopita....

AUNTY POLLY: Niko kidato cha tatu na sijapata hedhi

Na PAULINE ONGAJI NIKO katika kidato cha tatu na sijaanza kupata hedhi ilhali wenzangu wananiambia kwamba wao walianza wakiwa katika...

AUNTY POLLY: Yawezekana nina ugonjwa wa zinaa?

Na PAULINE ONGAJI HUYU wa mwanzo leo anauliza hivi: Nina umri wa miaka 22 na kwa miezi miwili sasa nimekuwa na mpenzi ambapo tayari...

AUNTY POLLY: Uzani kupitiliza wanitia kiwewe

Na PAULINE ONGAJI KWA miezi sasa nimegundua kwamba nimekuwa nikiongeza uzani, suala ambalo linazidi kuathiri umbo langu la kupendeza na...

AUNTY POLLY: Ninawashwa baada ya kunyoa sehemu nyeti

Na PAULINE ONGAJI MIMI ni mvulana mwenye umri wa miaka 16. Kwa miaka michache sasa nimeshuhudia nywele za sehemu zangu za nyeti zikiota....

AUNTY POLLY…: Wananishinikiza nitumie mihadarati

Na PAULINE ONGAJI MWANZONI mwa mwaka nilipojiunga na shule ya upili nilibahatika kukutana na marafiki upesi. Nimegundua kuwa wachache...

AUNTY POLLY…: Rafiki yangu ana matatizo ya kula

Na PAULINE ONGAJI NIKO katika kidato cha tatu katika shule moja jijini Nairobi. Nina rafiki yangu ambaye nimegundua kwamba ana matatizo ya...

AUNTY POLLY…: Nina hofu kujiunga na Chuo Kikuu

Na PAULINE ONGAJI MWAKA 2020 natarajiwa kujiunga na chuo kikuu. Hata hivyo mimi ni mwoga sana na nimeanza kuingiwa na hofu ya kukutana na...

AUNTY POLLY: Ana mimba na siko tayari kuitwa ‘baba’

Na PAULINE ONGAJI NINA mpenzi wangu ambaye ameniambia kuwa ana mimba. Ninaashuku sana iwapo mimba hii ni yangu kwani awali alikuwa...

AUNTY POLLY: Fafanua, hedhi huwa nyekundu kila mara

Na PAULINE ONGAJI MARA kwa mara hasa siku kadha baada ya hedhi yangu kuanza, rangi hubadilika na kuwa nyekundu hafifu. Ningependa kujua...