Uhispania wazamisha Uswisi kupitia penalti na kufuzu kwa nusu-fainali za Euro

Na MASHIRIKA MABINGWA mara tatu wa Euro, Uhispania, waliwaondoa Uswisi kwenye robo-fainali za Euro mnamo Julai 2, 2021 kwa kuwapokeza...