KIMYA CHA ‘BABA’: Raila aeleza sababu ya kutuliza boli ufisadi ukilemaza nchi

Na VALENTINE OBARA KIONGOZI wa upinzani Raila Odinga amefichua sababu yake ya kupunguza presha dhidi ya serikali hata inapokumbwa na...

KINAYA: ‘Baba’ asisubiri hisani ya Uhuru aambiwe akalie kigoda cha ikulu!

Na DOUGLAS MUTUA ‘BABA’ ametongozwa akatongozeka, lakini atakula huu na hasara juu! Aliyemtongoza pia atakula huu. Lakini hii...

UTAMADUNI: Eneo ambako kina baba na watoto hutengewa titi kunyonya

Na SHABAN MAKOKHA Kwa ufupi: Wanaume wa Butere wafichua kwamba wao hunyonya matiti za wake zao ili kuondoa mikosi na kuzuia...

Aliyetandika babake aambia korti kuwa yeye ni wazimu

Na TOTUS OMINDE KULIKUWA na kicheko mahakamani Eldoret wakati mwanamume ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kumpiga na kumjeruhi babake...

Baba ajiua baada ya kukosana na mwanawe

Na GERALD BWISA MWANAMUME wa miaka 55 Jumatatu alijiua baada ya kugombana na mwanawe katika kaunti ya Trans Nzoia. Marehemu,...