Korti yakataa kutupa kesi ya mauaji dhidi ya Babu Owino

Na RICHARD MUNGUTI MBUNGE wa Embakasi Mashariki Bw Paul Ongili almaarufu Babu Owino jana alipata pigo wakati mahakama ilipokataa...

Sijaonja pombe kwa miezi sita – Babu Owino

Na BENSON MATHEKA Mbunge wa Embakasi Babu Owino amedai kwamba ameacha pombe na amekuwa akiomba Mungu amsaidie kubadilisha tabia. Kwenye...

Babu Owino sasa ni mfano tosha wa ‘mui huwa mwema’

Na BENSON MATHEKA MBUNGE wa Embakasi Babu Owino amedai kwamba ameacha pombe na amekuwa akiomba Mungu amsaidie kubadilisha...

Dhamana ya Babu Owino yaangaziwa upya

Na JOSEPH WANGUI JAJI Luka Kimaru ameiangazia upya dhamana ya Mbunge wa Embakasi Mashariki Paul Ongili maarufu kama Babu...

Babu Owino aachiliwa baada ya kulipa awamu ya kwanza ya dhamana

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino ameachiliwa huru Jumanne jioni huru kutoka gereza la Nairobi baada ya kutoa...

Babu Owino aachiliwa kwa dhamana ya Sh10 milioni pesa taslimu

Na RICHARD MUNGUTI MBUNGE wa Embakasi Mashariki Paul Ongili maarufu Babu Owino ameachiliwa kwa dhamana ya Sh10 milioni pesa taslimu...

Babu Owino ndani siku 7

Na RICHARD MUNGUTI MBUNGE wa Embakasi Mashariki Paul Ongili almaarufu Babu Owino anakondolewa macho na kifungo cha maisha gerezani...

Babu Owino akamatwa baada ya tukio la ufyatuaji risasi

VINCENT ACHUKA na HARRY MISIKO MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino amejikuta tena pabaya mara hii akidaiwa kujihusisha katika...

FUJO JIJINI: Tutaandamana kupinga vyuo kuongeza karo – Babu Owino

Na CHARLES WASONGA HUENDA fujo zikashuhudiwa katikati wa jiji la Nairobi na nje ya majengo ya Mahakama ya Milimani Mbunge wa Embakasi...

MUAFAKA: Uhuru aliposhangiliwa na wabunge wa upinzani 2018

Na CHARLES WASONGA MBWEMBWE na mahanjamu zilishamiri bungeni mnamo Machi 2018 Rais Uhuru Kenyatta alipowasilisha hotuba yake kuhusu Hali...

MAADILI: Babu Owino na Jaguar waomba msamaha kwa kulimana bungeni

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino na mwenzake wa Starehe Charles Njagua (Jaguar) Alhamisi waliomba msamaha...

Babu Owino akaangwa kujilinganisha na Chamisa, Malema na Bobi Wine

Na PETER MBURU WAKENYA mitandaoni wamemkemea mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino, kwa kujaribu kujilinganisha na viongozi wanaoibuka...